Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Insider man tumekuwa mateja hapa
 
Wengi tunamlaumu Mary na tunamuonea huruma Mama J
Tukumbuke hii ni story (Fasihi,Riwaya) a.k movie kupitia Mwaandishi Mlumbi INSIDER ambayo hutusisimua tunaposoma tunaona wahusika wakicheza nafasi zao ipasavyo
Kiufupi tuendelee kuburudika kujifunza mengi
Kongole Mlumbi INSIDER endelea kishusha episode
 
Insaida hana tofauti mke wa mtu aliepata sponsor na kuanza kumdharau mumewe.

Ama kweli kibunda mwanaharamu, hii story mwanzo mwamba alikua anamsifu mama j kama malaika vile, saivi anamsifu boss lady kama malaika.
Wewe bwana no kigeugeu na mbinafsi kiwango cha sgr.
 
Thank you. Umetisha
 
Yani wanawake wote wale waliopostiwa tangu August 1 uende kabisa ukamtambue Hilda
U joking INSIDER MAN

Ila Asante kwa kuwa umewapatia hap mbudya followers
Kama ulishindwa ielewa code ndo bhasi tena, kuna waliolewa bila shaka. Bhasi anzi 15 August 2 date. Hapa napo bado?πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏ
 
Wale walikua wanadai hi story eti ya kutunga; haya KIKO wapi? Kwa jinsi mwamba alivowahi kumwelezea Hilda, ni kama nimemfaham tayari. Halafu....., mbona kama na Iryn yupo mule?πŸ˜…
Iryn yuko posted somewhere, walimuomba wampost akakubali, ila ndo siwezi waambia ni wapiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimesoma episode zote, sijapaona mahali alipo ongeza sifa kwa boss lady but pia sijaona mahali ambapo anamdharau mama Jr, nimeona kama mapenzi kwa mama Jr ndio yamepungua but ukweli sijaona alimpo mdharau

Saikolojia yetu wanaume inafanana, aliwahi kusema Dr. Mwaka pia kwamba, hata ukioa mwanamke MREMBO vipi, ukikaa nae miezi 3, yaani akifikisha period 3; huyo mrembo anageuka kua mwanamke wa kawaida sana kwako. Hili linatupata wanaume almost wote tu, kinacho baki kwako na mkeo ni namna mnavyo ishi. Kuna sehemu Insider anasema (nilianza kui miss familia yangu, kipindi wakiwa na Iryn kwenye apartment yao kabla hajaenda SA)
 
Nimerudi tena kumtafuta hilda Ila wanaume wamepagawaaaa huko mwenye page ya mbudya sio kwa wale waremboo


Khaaaaa kama kuna bonge mweupe mwenye msambwanda amejibinua amelala kwenye mchanga wanaume wamekoment huko wanajilizaaaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Af mwanamke ulete wivu wa kikuda hahaha akirudi home shukuru mkaribishe kwa upendo mpe pole maisha yaendelee. Majaribu huko nje ni mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…