Huu uzi umenifanya niwe addicted aisee, nilikuwa nausoma kimyakimya.Tunaisubiri mno Red black
HahahKuna emergence babu. Halafu hadaiwi chochote
Dadeq na Bado anatupiga karendaHuu uzi umenifanya niwe addicted aisee, nilikuwa nausoma kimyakimya.
Kimtindo inanikumbusha ISIDINGO THE NEED.
Kitu inanikera ni pale naona notification halafu siyo ya muendelezo 😂Dadeq na Bado anatupiga karenda
Kama hii😂🙌Kitu inanikera ni pale naona notification halafu siyo ya muendelezo 😂
Jau 😂Kama hii😂🙌
Tunakusubiri mkuu💪SEASON 3:
JULY 31/2025
BE THE CHANGE YOU WISH TO SEE IN THE WORLD
June si hii ccyAshaendelea sis????? Akiweka naomba uniite kitambo sana sijapita kwahuu uzi!!
Mpaka mwakani sis duhhh! Arosto itakuwa kali sanaJune si hii ccy
Duhhh nomaMpaka mwakani sis duhhh! Arosto itakuwa kali sana
Noma sio kidogo akii! Almost mwaka jamani!Duhhh noma
Unaturusha mzeeSEASON 3:
JULY 31/2025
BE THE CHANGE YOU WISH TO SEE IN THE WORLD
Sisi huu uongo tunaupenda wewe pita kushoto.shida ya huyo storyteller ni muongo just imagine aliwambia watu next week nawapa update GAFLA bin vuu katoa notice update ni 31/7/2025
Ole wako usinitag. NakurogaPamoja mutu ya Mbezi Beach...
😂😂😂😂😂Sisi huu uongo tunaupenda wewe pita kushoto.