Huyu jamaa alikuwa Tunduma sijui kashakimbilia wapi ?
Mara ya mwisho alisema yuko kanda ya ziwa anafanya biashara ya uvuvi , sijui bado anaendelea au vipi
Maana biashara za Bongo aisee ni pasua kichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa alikuwa Tunduma sijui kashakimbilia wapi ?