K Kimbukiko JF-Expert Member Joined Apr 1, 2022 Posts 5,080 Reaction score 9,449 May 21, 2024 #181 Papaa Gx said: Aisee huu uzi nilichewa kuona. Yohimbe bark twende huku tukakaze kiume. Click to expand... Huyu jamaa alikuwa Tunduma sijui kashakimbilia wapi ? Mara ya mwisho alisema yuko kanda ya ziwa anafanya biashara ya uvuvi , sijui bado anaendelea au vipi Maana biashara za Bongo aisee ni pasua kichwa
Papaa Gx said: Aisee huu uzi nilichewa kuona. Yohimbe bark twende huku tukakaze kiume. Click to expand... Huyu jamaa alikuwa Tunduma sijui kashakimbilia wapi ? Mara ya mwisho alisema yuko kanda ya ziwa anafanya biashara ya uvuvi , sijui bado anaendelea au vipi Maana biashara za Bongo aisee ni pasua kichwa