Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

Ulikosea ulitakiwa usikate tamaa urudi tena kule uliko pata samaki ukapata faida, ungerudi kama tripu 3 hivi ili utengeneze msingi mzuri sana.
 
Ulikosea ulitakiwa usikate tamaa urudi tena kule uliko pata samaki ukapata faida, ungerudi kama tripu 3 hivi ili utengeneze msingi mzuri sana.
Umesema kweli lakini
Kilichonikimbiza mimi kwenye hii biashara ilikuja changamoto mpya ambayo watu wengi sana tuliondoka na kuacha kilazima, Serikali ilianzisha operation babuu kubwaa atari sana wakitembelea kila ilipo kambi ya wavuvi na wachuuzi.

Ilitokea hii ni baada ya ule upimaji wa samaki na rura Bungeni kama unaikumbuka ile ishu ilituathiri ata wafanya biashara.

Polisi wa kutosha na ving'ola kwa wingi wanakuja wakiukuta mzigo wako wanataifisha haijalishi ni fusho tupu ilikuwa na wavuvi kuchomewa nyavu,

Mimi binafsi huo mzigo wa mwisho ni msaada wa Mungu tu ilibakia kidogo sana kuchukuliwa.

Ila kwa wale waliokomaa zaidi waliingiza pesa ndefu maana samaki sokoni zilikuwa adimu zilipanda sana bei alafu wakinunua kwa urahisi.
Nimejalibu kufupisha hadithi isiwe ndefu.
Lakini sasa hali ni shwari hamna tena usumbufu huo.
 
Ok nimekuelewa swala la kupima samaki ukubwa ndio changamoto kweli inaweza ikakutia hasasara kubwa sana.
 
Polisi ni kazi ya kuchukiwa hapa nchini
 
Hakika Uzi huu n mzur sanaa mkuu ukia za tena hii biaahara abas naomba untag plz
 
Lkn pia nataka kufungua duka LA samak ddm kwa maan ya kwamba npate samak wa mtera na wamwanza fresh fish tu je soko LA dodom lkoje
 
Ulikosea ulitakiwa usikate tamaa urudi tena kule uliko pata samaki ukapata faida, ungerudi kama tripu 3 hivi ili utengeneze msingi mzuri sana.

Lkn pia nataka kufungua duka LA samak ddm kwa maan ya kwamba npate samak wa mtera na wamwanza fresh fish tu je soko LA dodom lkoje
Kama una habr zozte za ddm BA's naomba ushauri
 
Lkn pia nataka kufungua duka LA samak ddm kwa maan ya kwamba npate samak wa mtera na wamwanza fresh fish tu je soko LA dodom lkoje
Mkuu Kwa Dodoma kuna soko kubwa sana kwa hao samaki,ni wazo zuri sana nadhani unamaanisha unataka kuuza samaki wabichi(fresh food) wa mtera wanapatikana wavuvi wanauza kuanzia Tsh. 150 adi 250 sakaki 1 mbichi amekidhi vigezo kiserikali,itakulipa ukizingatia ni mji unaokuwa kwa hoteli na mikahawa wageni ni wengi waitaji wa samaki.

Kwa Dodoma hupatikanaji wake ni rahisi samaki pia wavuvi wa Dodoma ndio wanaongoza kuvua kambare na perege, si unajua pia bwawa la mtera linapatikana mpakani mwa DODOMA na IRINGA,

Kwa hiyo Dodoma zipo kambi za wavuvi na soko lake kubwa ni Dodoma mjini na vijijini.
 
Rudi tufanye biashara pamoja tuchange mtaji, unasemaje
 
Rudi tufanye biashara pamoja tuchange mtaji, unasemaje
nitarudj lakini si kwa sasa, sasa hivi nipo kwenye ajira ya mda japo hainuzuii kufanya maamuzi mda wowote naweza kuacha nikitaka.
 
Police wa Tanzania wana shida sana hata uwe na kila kitu bado wana ona ni haki yao kupewa hela
 
Mbaya zaidi wana ushirikiano wa ajabu unaweza pelekwa kituoni wakajiridhisha huna hatia lakini bado wakakung'ang'ania
 
Mbaya zaidi wana ushirikiano wa ajabu unaweza pelekwa kituoni wakajiridhisha huna hatia lakini bado wakakung'ang'ania
😂😂😂😂 wana D ya kiswahili na D ya civics sasa unadhani watakuwa na utofauti !
 
Ila katika yote iko hasara ya kuuchakaza mwili. Final ni uzeeni mara kiuno mara magoti yamegoma. Vipi uliulipa nini mwili?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…