Jinsi Cadena anavyoua vipaji kwa Mazoezi mengi. Tusilaumu wachezaji walishachoshwa Mazoezini. Mgunda pekee ndio wa kuivusha Simba hapa

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Alitoka Azam. Azam ikiwa mbovu sana. Aliua makipa kwa mazoezi yasiyo na vipimo. Alipopewa Timu nilisema mno Kama toka aje Makipa viwango vinakufa kwa mazoezi mengi. Toka Aly Salum, Ayou na Manula ataua timu kwa staili hiyo hiyo.

Tukaweka kampeni aiache timu viongozi wakamwamini.

Kilichotokea leo nilijua wachezaji wamecheza kipindi cha kwanza wakachoka kabisa.

Na hakuna kocha atakaetoboa simba uyu Mwamba akiendelea kuwa simba.
 
wewe ni Mwarami?
Unataka kuwa kocha wa Makipa pale Simba?
Kwamba ally Salim alikuwa na kiwango Before Cadena?
Kwamba Cadena alikuwepo wakati Manula anaumia?
Kwamba Cadena ndio kampiga Majungu Roberthinho afukuzwe?
Unapoandika kitu mbele za watu kuna mawili.
1. Andika kitu kisichokuwa na chembe ya Mashaka.
2.Andika chochote ikiwa tu una ushahidi.
 
Uzi mmoja umeandika Mara 2.
Halafu umeduroo.
 
Wataalamu waje watueleze, mazoezi mengi yanaua vipi mchezaji au ndio humuimarisha mchezaji?

Mazoezi makali humuathiri mchezaji kama yatafanyika karibu na mechi, mfano siku moja kabla na labda siku mbili kabla. Tofauti na hapo, mazoezi makali humjenga mchezaji.

Kitu kingine labda useme Cadena anawapa mazoezi makali halafu hawali vizuri, wanakula chips, hapo lazima waathirike. Pia, useme, wachezaji wa Simba wamezeeka.

Kwa mechi ya Simba, na Asec unaona kabisa wachezaji wa Simba hawana mazoezi ndio maana walichoka sana baada ya kukimbizwa na madogo wa Asec.

Hivi unahisi madogo wa Asec hawafanyi mazoezi makali sana kwa pumzi ile?

Kipindi tunacheza soka la mchangani, kocha alikuwa anapenda tucheze dakika 120 ili tukija uwanjani dakika 90 inakuwa mteremko.

Kingine, wachezaji wetu waishi kiprofesheno. Yaani, wajiongeze, mfano kama mazoezi yanaanza saa moja, yeye afike saa kumi na moja na nusu aanze mazoezi yake, ikifika saa moja anaunganisha na wenzake, pombe, sigara anaacha mpaka astaafu.
 
Mazoezi hutegemea umri, Mwili yani misuri na wakati.

Na kubadili kiwango cha mazoezi huenda kidogo kidogo vinginevyo huathili misuli kabisa.

Wachezaji simba waliongezewa dozi kwa kasi mno baada ya Cadena kuhisi kocha wa viungo aliwadekeza. Sasa akawaumiza na kushindwa kucheza kabisa
 
Back
Top Bottom