ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Hii nchi Chama ndio tunasema Dola, lakini katika jambo la kustaajabisha ni pale ambapo CCM imeamua kufanya ubabe na kujimilikisha sehemu ya Barabara yaani mtaa na kufanya ni njia ya kuingia katika jengo lao la makao makuu na kupaki magari.
Yaani sehemu ya Barabara ya Mtaa wa Mwangaza hapo zamani ilitambulika kama ni mtaa au barabara inayoanzia soko kuu Hadi kuu street, lakini baadae CCM walijenga fence usawa wa mita 200 wa sehemu ya Barabara hiyo na kujimilikisha, tunaomba Samia uingilie hili, katika picha ni sehemu ya Barabara iliyoibwa na chama