Jinsi CCM walivyojimilikisha sehemu ya Barabara ktk Makao makuu

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Hii nchi Chama ndio tunasema Dola, lakini katika jambo la kustaajabisha ni pale ambapo CCM imeamua kufanya ubabe na kujimilikisha sehemu ya Barabara yaani mtaa na kufanya ni njia ya kuingia katika jengo lao la makao makuu na kupaki magari.

Yaani sehemu ya Barabara ya Mtaa wa Mwangaza hapo zamani ilitambulika kama ni mtaa au barabara inayoanzia soko kuu Hadi kuu street, lakini baadae CCM walijenga fence usawa wa mita 200 wa sehemu ya Barabara hiyo na kujimilikisha, tunaomba Samia uingilie hili, katika picha ni sehemu ya Barabara iliyoibwa na chama

 
Siku zao zinahesabika.. Hamkani si shwari tena..!
 
Mbona hausemi ni nchi gani, Tanzania au Burundi tulikoambiwa tuhamie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…