Jinsi "CHAPUTA" mlivyotutesa shule za bweni

Jinsi "CHAPUTA" mlivyotutesa shule za bweni

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Aisee kuna mambo ambayo ni ngumu kuyasahau hasa kipindi hicho mambo ya shule za bweni..
Yapo mambo mengi ya kukumbukwa lakini kubwa ni hawa viumbe hai member katika chama lao wanaoitukuza nyeto "CHAPUTA"
Aisee hawa RAIA wametutesa sana shule za bweni, kwani watu tumekula sana mweleka bafuni na kung'oa sana magego kama si kupona Taya kwa kutelezeshwa na manii zao,ikafika kipindi mtu unawahi kweli bafuni kuoga ili usikumbane na kadhia hiyo,watu tulioga mpaka SAA 10usiku, maana ilikuwa ukichelewa unakuta washiriki wamesha chafua uwanja.....
Bado wale watoro wanaochafulia wenzao matandiko pindi tuwapo Prep.yaani shida tupu.
Vipi huko,ilikuwaje wakuu!??
 
Ulikua unawahi saa 10 ,ili wasikubambe ukipiga. Kweli CHAPUTA ilikutesa!
 
Back
Top Bottom