Mr_mkisi
Member
- Sep 24, 2024
- 15
- 47
Marekani iliwafungia China katika kila kona ili kuibana na kuzuia kwa hofu ya kupitwa … kiuchumi, siasa hata Teknolojia lakini hadi sasa marekani haiamini kilicho tokea China Imegeuza meza …!
…….kivipi ?
Pause …. Naitwa Mkisi mtaalamu wa teknolojia na vifaa vya kidigitali. Tupo Kariakoo tunauza Simu na Laptop + Tablets kwa jumla na reja reja . Kupata makala kama haya tuma ujumbe WhatsApp kupitia +255 628210865 sasa hivi nikuunge kwenye group letu .
Play ….
Leo tutaangazia teknolojia hasa AI au artificial intelligence au akili Mnemba.
Baada ya marekani kugundua na kuweza kutengeneza AI yake kama GENIMI , Chatgtp na nyinginezo , iliweka sera /masharti kupitia kampuni ya Invidia kuto kuuza CHIP maalumu ambazo zinabeba program za AI …
Kuto kuuza nje ya marekani kuzuia China isipate teknolojia hiyo.
Invidia ni nani ? …. Ni kampuni maalumu inayo tengeneza Chip ambazo zinabeba program za AI kiufupi ni kwamba huwezi kuwa na AI bila kuwa na hiyo Chip.
….Sasa …! China wamepindua meza kibabe .
Wamekuja na AI yao special kabisa inaitwa DEEPSEEK .
Baada ya kuzinduliwa tu imepata mamilioni ya downloads (Playstore + Appstore ) .
Deepseek imekuwa buree kabisa tofauti na AI za kimarekani ambazo kuna baadhi ya vitu ili utumie lazima ulipie .
Cha kushangaza zaidi , Marekani ilitumia mabilioni ya pesa kutengeneza Ai zao lakini Deepseek imetumia takribani Dola Milioni 6 Tu .
Marekani imebaki mdomo wazi na bado wanajiuliza china wamewezaje ? Baada ya figisu kwenye Tiktok sasa wamepigwa bao kwenye AI na kuna maporomoko makubwa kwenye hisa za AI za kimarekani huku DEEPSEEK hisa zake zikipanda mara dufu.
Makala kama hizi naadika mara kwa mara nitafute kupitia +255 628210865 nikuadd kwenye group na kama utahitaji msaada kuhusu Teknolojia , Simu au Laptop .
Tupo Kariakoo Aggrey dar Free delivery mkoani unatumiwa na unalipia ukipokea mzigo wako 🤝.