Jinsi Cleotus Chama anavyopotosha kizazi cha sasa

Amri97

Member
Joined
Sep 11, 2020
Posts
87
Reaction score
98
Habar zenu wana jamvi,

Leo ningependa tumzungumzie kidogo huyu mwamba wa Lusaka (Chama) itoshe tu kusema kwamba huyu jamaa ni mwongo na mlaghai pia.

Kadri siku zinavyozidi kwenda anajaribu kuwadanganya na kuwalaghai vijana wengi kuwa kuucheza mpira wa miguu ni kitu rahisirahsi tu, na hii ni kutokana na yeye kuwa jicho la watoto na vijana wengi kwa sasa katika kujifunza mpira.

Anajaribu kudhirishia umma kuwa mpira ni kitu rahisi mnooo..kumbe sivyo kabisa.
 
Kwa timu ndogo anaweza.
 
Atawastaafisha hawa wezee wa uto
 
Utopolo ktk Ubora wako.Kumbe akina Messi ,CR7 wamekuwa wakipotosha vijana mda mrefu sana.
 
Tarehe 18.10 SIMBA tutahama rasmi kutoka 4G na kuingia 5G
 
Utopolo ktk Ubora wako.Kumbe akina Messi ,CR7 wamekuwa wakipotosha vijana mda mrefu sana.

tafuta pesa, acha kumuonea wivu mwanaume mwenzio anayetafuta pesa in which anazo anatafuta namna ya kuziongeza,
utaishia kulalamika hadi kaburini


Kiswahili kimekuwa kigumu sana kwenu! Hivi Kwanini muliamua kusoma PCM tokea Shule ya Msingi?
 
Mkuu siku zote mwenye mtu mafanikio, ukitaka kuwashawishi na wengine wenye nia na lengo la kufika ulipo sio kuwakatisha tamaa bali kuwatia moyo! Sasa huwezi kumtia mtu moyo wa kufanikiwa katika jambo lolote kwa kumtisha au kulielezea katika ugumu wake! Hata walimu wa masomo ya sayansi yanayo sumbua wanafunzi ka mathematics au Physics, huwa wanajaribu kuwashawishi wanafunzi kuyabeba masomo hayo kwa kujaribu kuonyesha kwamba ni mepesi sana ilihali ukweli ni magumu na yanatoa watu vipara mapema kabisa!
 
Kiswahili kimekuwa kigumu sana kwenu! Hivi Kwanini muliamua kusoma PCM tokea Shule ya Msingi?
Wala usifikiri waijua lugha ndio kwanza unajifunza.Ww ni utopolo na ulichoandika si lugha ya picha,si mchezo wa lugha ya kifasihi inayohtaji utambuzi wa ndani kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…