Amri97
Member
- Sep 11, 2020
- 87
- 98
Habar zenu wana jamvi,
Leo ningependa tumzungumzie kidogo huyu mwamba wa Lusaka (Chama) itoshe tu kusema kwamba huyu jamaa ni mwongo na mlaghai pia.
Kadri siku zinavyozidi kwenda anajaribu kuwadanganya na kuwalaghai vijana wengi kuwa kuucheza mpira wa miguu ni kitu rahisirahsi tu, na hii ni kutokana na yeye kuwa jicho la watoto na vijana wengi kwa sasa katika kujifunza mpira.
Anajaribu kudhirishia umma kuwa mpira ni kitu rahisi mnooo..kumbe sivyo kabisa.