Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 547
- 892
🤣🤣🤣 Simu yako halafu mtu anakupangia cha kufanya.Ilikuwa hivi.
Niliingia instagram jamaa akasema zima vitu vifuatavyo kwenye simu yako kuimarisha ulinzi wa taarifa zako.
Ingiza settings
Zima Google password manager
Nikazima.
Nikaenda settings nikazima payment method
Nikaenda privacy and policy
Access payments method ni kazima.
Baadae simu haishi network.
Nikarudi nikazirudisha kama mwanzo.
Sasa nipo hewani.
Maamaaezao
Nyingine alisema piga *#35*0000# hadi leo simu yangu nimipigiwa haipatikani.
Nikiingia google. Nina search code mbalimbali haijasaidia
Hizi code mnapopewa muwe mnauliza na namna ya kurejesha simu ktk setting yake ya kawaida!.Nyingine alisema piga *#35*0000# hadi leo simu yangu nimipigiwa haipatikani.
Nikiingia google. Nina search code mbalimbali haijasaidia
Hii ndo kwa kubonyeza ##35# itakua sawaNyingine alisema piga *#35*0000# hadi leo simu yangu nimipigiwa haipatikani.
Nikiingia google. Nina search code mbalimbali haijasaidia
Sasa simu imeharibika sehemu Gani 😀😀 ebu tuambieIlikuwa hivi.