Itakapofika huko' hiyo kimataifa itakuwa level zingine kabisaNimeiambia Gemini itengeneze picha ya Dae jinsi itakavyokuwa miaka 10 ijayo kwa kuangalia kasi yake ya ukuaji wa sasa
Ikaleta hii picha
I can't wait to see Dar inafikia level za kimataifa
View attachment 3565331
Kwa utawala huu huu wa ccm?Nimeiambia Gemini itengeneze picha ya Dar jinsi itakavyokuwa miaka 10 ijayo kwa kuangalia kasi yake ya ukuaji wa sasa
Ikaleta hii picha
I can't wait to see Dar inafikia level za kimataifa
View attachment 3565331
Nakazia, uko sahihi, bado safari ni ndefuIngefikia hatua hiyo kama pale topper angekaa mtu mwenye akili timamu kichwani (ieleweke mtu kuonekana amevaa nguo safi hakumfanyi kuwa timamu maana siyo vichaa wote hutembea uchi) kwa uongozi uliopo mpaka 2030 hakuna kitu kitaendelea.
So atakaekamata 2031-36 hata awe smart vipi (haitegemewi atakuwa smart kama atatokana na ccm) miaka mitano kuifikisha Dar hapo itakuwa shughuli pevu kwake,mradi mdogo tu wa upanuzi wa Morogoro Rd kutoka Ubungo maji to Kimara Mchina anazunguka pale mwaka wa pili sasa.
Sasahivi imeshafikia hapa mkuu 😁😁Ingefikia hatua hiyo kama pale topper angekaa mtu mwenye akili timamu kichwani (ieleweke mtu kuonekana amevaa nguo safi hakumfanyi kuwa timamu maana siyo vichaa wote hutembea uchi) kwa uongozi uliopo mpaka 2030 hakuna kitu kitaendelea.