Jinsi Dar es Salaam itakavyokuwa mwaka 2036 kwa mujibu wa Gemini

Ingefikia hatua hiyo kama pale topper angekaa mtu mwenye akili timamu kichwani (ieleweke mtu kuonekana amevaa nguo safi hakumfanyi kuwa timamu maana siyo vichaa wote hutembea uchi) kwa uongozi uliopo mpaka 2030 hakuna kitu kitaendelea.

So atakaekamata 2031-36 hata awe smart vipi (haitegemewi atakuwa smart kama atatokana na ccm) miaka mitano kuifikisha Dar hapo itakuwa shughuli pevu kwake,mradi mdogo tu wa upanuzi wa Morogoro Rd kutoka Ubungo maji to Kimara Mchina anazunguka pale mwaka wa pili sasa.
 
Nakazia, uko sahihi, bado safari ni ndefu
 
Sasahivi imeshafikia hapa mkuu 😁😁

Ila nakubali bila mtu smart kule top Dar inaweza isibadilike sana
Mpaka mji uwe hivyo inahitaji mtu smart atakayethamini miundombinu, mpango mji na kukuza uwekezaji nchini
 
Labda ufanyike mpango wa kuilipua na bomu kubwa lile la kugeuza ardhi juu chini kama yale yalopigwa huko tolabora.
Kisha atokee Rais mwenye akili zake na wakati huo CCM isiwepo kabisa duniani, ndo isukwe DAR mpya na miundombinu yake kama jinsi gemini ilivyo predict.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…