Jinsi Diamond alivyombadilisha Ally Kiba

Mavazi ili mradi amevaa??ulitaka avae sketi kama Dai??!Yupo simple lakini anapendeza.Vile ndivyo alivyo ndo nyie mzungu akivaa kandambili mnamuona wa maana wakat kwetu twaendea chooni

Ukweli ni kwamba alikuwa anazingua bwana ila jana wakati anaimba mwana alipendeza huo ndo ukweli
 
Unajua leo nimekukubali kitu kimoja matusi na kashfa umeziweka pembeni.Tujadiliane,tukosoane bila mtukanano hivi ndivyo itakiwavyo jf.

Yaani natamani uundwe mpambano wao pale leaders
 
We unafkiri wale wahuni walilipa elfu 40??

Tiketi zimeuza ma-agent wote wakaishiwa akabaki mmoja alikua na ki noah anauzia ndani ya gari. Alivyojua wenzake wamemaliza tiketi akapandisha bei hadi 40 hutaki unaacha. Sasa hata ungejifanya ni muhuni ungefanyaje zaidi ya kupiga salute na kuweka mkono mfukoni kutoa wallet???


Hakuna watu wamepiga hela kama ma-agent wa tiketi jana. Siku ilikua nzuri sana kwao.
 
MASAHIHISHO:
Alikiba ameanza kuwa juu na cinderela 2005 na sio 2007..

Hivi jana ulikua wapi?maana wewe nakutegemea siku Kiba aki release video I guess utakua wa kwanza kuileta hapa jamvini...
 
Kisiki ni hao wahuni waliokodishwa

Kukodisha mie siamini. Kwasababu ni gharama kubwa sana.
Labda niseme mkuu mie binafsi napenda sana muziki. Daimond anajua kuimba na binafsi namkubali sana. Pia Kiba anajua pia na ndio nilimkubali kipindi anatoka na nyimbo zake za awali.
Nimejaribu kutoa baadhi ya comment zangu na nyingi zinaonyesha kuwa namchukia Dai na nampenda Kiba. Kiukweli siwezi kuwa chukia hawa ila nachukia matendo ya Daimond mbali na kuimba na kucheza.
Nipe scandal ya Kiba ambayo unaona kabisa hata jamii inasema kuwa kuna tatizo hapa. Yapo mengi sana ya kusema.
 

Mi naamini katika muziki mkuu,,, scandal huwa hazinifanyi niache kuangalia Muziki wa mtu..

Maana hakuna Mwanamuziki mkubwa duniani anayekosa Scandal za ajabu kuanzia kina Mj mpaka kufikia kizazi hichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…