Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka niwaeleweshe watu
Mavazi ili mradi amevaa??ulitaka avae sketi kama Dai??!Yupo simple lakini anapendeza.Vile ndivyo alivyo ndo nyie mzungu akivaa kandambili mnamuona wa maana wakat kwetu twaendea chooni
el nino, huu uzi wangapi leo.Ile jana kwa Almasi ilikuwa changamoto sasa aibadilishe iwe fursa.
We unafkiri wale wahuni walilipa elfu 40??
Nimepanic sana aseee watu hawwzi kuleta uhuni namna hii
Yaani natamani uundwe mpambano wao pale leaders
We unafkiri wale wahuni walilipa elfu 40??
MASAHIHISHO:
Alikiba ameanza kuwa juu na cinderela 2005 na sio 2007..
Ukweli ni kwamba alikuwa anazingua bwana ila jana wakati anaimba mwana alipendeza huo ndo ukweli
Kisiki ni hao wahuni waliokodishwa
Kukodisha mie siamini. Kwasababu ni gharama kubwa sana.
Labda niseme mkuu mie binafsi napenda sana muziki. Daimond anajua kuimba na binafsi namkubali sana. Pia Kiba anajua pia na ndio nilimkubali kipindi anatoka na nyimbo zake za awali.
Nimejaribu kutoa baadhi ya comment zangu na nyingi zinaonyesha kuwa namchukia Dai na nampenda Kiba. Kiukweli siwezi kuwa chukia hawa ila nachukia matendo ya Daimond mbali na kuimba na kucheza.
Nipe scandal ya Kiba ambayo unaona kabisa hata jamii inasema kuwa kuna tatizo hapa. Yapo mengi sana ya kusema.