Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
na hata eminem ana alilijua hilo ndio maana unamsikia akiimba hivi i gv u a career just to destroy it na ikumbukwe hata hao views wa youtube wengi wao pia ni mashabiki wa eminem waliokuwa hawajamsikia MGK sasa wakaamua kwenda kumuona aliyejibiwa na Em ni nani...Eminem amemkuzia jina dogo MGK baada ya kumjibu maana baada yakutoa tu hiyo ngoma ilivunja rekodi ya kuwa na viwers wengi kwa muda mfupi though siyo kali kivile.
mkuu,swear words kama " suck a dick" unataka nitafsiri hapa nipigwe ban!!!!!!!EM: But if I was three-foot-eleven
you'd look up to me, and for the record
you would suck a dick to fuckin' be me for a second
(hata angekuwa mfupi futi tatu Kelly anaweza kufanya lolote akipata nafasi ili awe
slim ikiwa hata kwa sekunde moja)
Hizi tafsiri zako kuna mahali zinaniacha solemba anyway kama vipi tuanzishe na sisi bifu letu Jf
Hahaha nimekupata mkuu nilikuwa natafuta bifu tumkuu,swear words kama " suck a dick" unataka nitafsiri hapa nipigwe ban!!!!!!!
nakupa general meaning ya hiyo mistari na sio kutafsiri neno kwa neno
for morals' sake baadhi ya mistari naipotezea
i hope umenipata
Nina wasi wasi na age ya huyo unayejaribu kumueleweshayoutube views wanashindana wasanii wa tanzania mzee baba [emoji23][emoji23][emoji23]
kule maduniani kwa wenzetu wanashinda (how many copy got sold) na charts za bilboards. hayo mambo ya youtube views tunashindana huku sisi
alafu kingine msikilize eminem pale aliposema (i gav you a career just to destroy it) alikuwa anamaanisha anavyomjibu kwenye kilshot ni kwamba anampa fame ila ndio anamuua kimuziki ingia chimbo ufatilie mzee baba
kwa kumalizia tu... hadi jana EMMINEM ana nyimbo mbili kwenye top ten ya rap chats za bilboad huyo MGK he is no where to be found on top 10 alipata chat sababu watu walikuwa wanataka kumsikia tu alichoimba sasa wamemsikia wamemtema
mashabiki wa hiphop hawaangalii yale makelele wanaangalia kilichoimbwa na MGK hana mashairi
embu nikuulize unamdiss mtu vipi huku unamsifia eti unamuita kabisa rap god alafu unamponda
hata eminem alishangaa ndio maana akasema kama when your fans becom enemy na u diss me and you compliment on the next line
nakuacha na chat ya billboards ya jana ili ujue ni kwann eminem alisema am givin u career just to deatroy it
Rap Music: Top Rap Songs Chart
😂😂😂😂 vijana bado hawajalijua game hawa....Nina wasi wasi na age ya huyo unayejaribu kumuelewesha
gud choice...nice choice...better choiceMimk eminem tu
Walidiss album ya Rival sio Kamikaze ....
EM: Killshot, I will not fail, I'm with the Doc still
but this idiot's boss pops pills and tells him he's got skills
but, Kells, the day you put out a hit's the day Diddy admits
that he put the hit out that got Pac killed, ah!
( slim anadai boss wa Kelly ni teja na akishavuta anamwambia kuwa ana kipaji wakati hana
anamgusa pia na Diddy ambaye ni boss wa Kelly(bad boy) kuwa siku aliyoproduce na
kuachia rap devil ndio siku pac aliuawawa na anamuunganisha diddy na kifo cha pac)
Hapo ulipokosea umesema ndio siku 2pac aliyouliwa HAPANA
Hapo Em anasema siku dogo aliyotoa nyimbo ndio SIKU ambayo Diddy ALIKIIRI kuwa alituma watu wamuue 2pac yaani kwa lugha nyingine anasema kuwa hiyo siku attention ilienda kwenye habari ya Diddy kukubali kummua 2pac kuliko nyimbo yake hivyo anamuonesha kuwa hata mabosi zake sio wazuri
Nimekupata bro"But Kells, the day you put out a hit's, the day Diddy admits / that he put a hit out, that got Tupac killed /"
Tafsiri yake ni kuwa siku MGK akifanikiwa kutoa hit record, ndio siku Diddy atakiri kuhusika na mauaji ya Pac. Punchline ni kuwa haitakuja kutokea sababu jamaa hana uwezo huo.
Au 69 angekuwa anajulikana dunia nzima. Maana nyimbo za ovyo lakini viewers hawapungui milioni 20 kwa kila nyimbo lakini sidhani kama hata wafatilia mziki wengi wanamfahamu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana bado hawajalijua game hawa....
anapagawa na youtube views [emoji23] basi kama youtube views ingekuwa dili basi justin bieber angekuwa ndio mwanamuziki bora wa kiume duniani [emoji23][emoji23]
Mi nafkiri ndiyo ilikuwa tarehe huko nyuma amabyo Diddy alikubali. Ni mfanano wa tarehe."But Kells, the day you put out a hit's, the day Diddy admits / that he put a hit out, that got Tupac killed /"
Tafsiri yake ni kuwa siku MGK akifanikiwa kutoa hit record, ndio siku Diddy atakiri kuhusika na mauaji ya Pac. Punchline ni kuwa haitakuja kutokea sababu jamaa hana uwezo huo.
Tafsiri ya Roger Sterling ni sahihi kabisa! Isome fresh punchline yakeMi nafkiri ndiyo ilikuwa tarehe huko nyuma amabyo Diddy alikubali. Ni mfanano wa tarehe.
Nmezisikia,hatari sana! Em ni mtu mwingine kabisaEm ametoa kama tatu hivi. Inaoneka alikuwa anataka ugomvi halafu hakuna anayemchokoza sasa dogo kayaingia Em anawaingiza mpk diddy etc hahaaa