youtube views wanashindana wasanii wa tanzania mzee baba [emoji23][emoji23][emoji23]
kule maduniani kwa wenzetu wanashinda (
how many copy got sold) na charts za bilboards. hayo mambo ya youtube views tunashindana huku sisi
alafu kingine msikilize eminem pale aliposema
(i gav you a career just to destroy it) alikuwa anamaanisha anavyomjibu kwenye kilshot ni kwamba anampa fame ila ndio anamuua kimuziki ingia chimbo ufatilie mzee baba
kwa kumalizia tu... hadi jana EMMINEM ana nyimbo mbili kwenye top ten ya rap chats za bilboad huyo MGK he is no where to be found on top 10 alipata chat sababu watu walikuwa wanataka kumsikia tu alichoimba sasa wamemsikia wamemtema
mashabiki wa hiphop hawaangalii yale makelele wanaangalia kilichoimbwa na MGK hana mashairi
embu nikuulize unamdiss mtu vipi huku unamsifia eti unamuita kabisa rap god alafu unamponda
hata eminem alishangaa ndio maana akasema kama
when your fans becom enemy na u diss me and you compliment on the next line
nakuacha na chat ya billboards ya jana ili ujue ni kwann eminem alisema am givin u career just to deatroy it
Rap Music: Top Rap Songs Chart