Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

Dah! Mkuu nimesikitishwa sana na comment yako jinsi masomo unavyoyachukulia simple kwa kigezo cha lugha...
Mtu wa digrii akishindwa mtihani wa dtarasa la saba digrii yake anyang'anywe sina jibu lingine sina wala sina huruma na utetezi wa huyo mtu.

Vilaza tu ndio wanaoweza kufeli mtihani wa darasa la 7.

Mkuu usipende kutetea vilaza.
 
kama kweli mwamba siakasome form four, form 4 hakunaga ushindi wa mezani kama chuo kule ni man to man.... kwa kifupi ukiwa na pesa kufeli chuo ni uzembe
 
Nimesoma maoni ya watu wengi na inaonesha elimu ya sekondari ni bora sana kuliko ya chuo kikuu katika kupima uwezo wa mtu kiinteligensia.Maana wengi wana uhakika ni rahisi kuhonga chuo kikuu ukapata GPA hata ya 5.

Kwa ujumla elimu yetu ina changamoto kwani wachangiaji wengi japo ni wasomi wa degrii,wanaonesha kuwa na chuki binafsi ya watu kama Shigongo,wakati wao hawajaandika hata kijuzuu kimoja
 
Mnamsagia kunguni tu,kwani si akasome masters hapohapo
 
Nimesoma maoni ya watu wengi na inaonesha elimu ya sekondari ni bora sana kuliko ya chuo kikuu katika kupima uwezo wa mtu kiinteligensia.Maana wengi wana uhakika ni rahisi kuhonga chuo kikuu ukapata GPA hata ya 5....
Hamna mwenye chuki,apitie mfumo rasmi au akasome masters hukohuko alikopatia hyo bachelor yake,
 
Alipiga tiktaka lakini wengi tunajua hana elimu.
Elimu ya ukubwani ni zero kabisa
 
Kama anaweza GPA 4.8 kwanini anaogopa paper la form four ?

Mtihani wa form four ndo mtihani namba moja hapa Tanzania katika kumpima Mtu kichwani


Atafute hizo C tano aende akasome masters
 
Ninampa.kongole sana sana
 
GPA ya 4.8 ni scam. Hiyo unaweza kuipata kwa kupewa tu na siyo kukaza pindi ukaipata.
Tena kwa yeye mwenye pesa anaweza kumpa tuu offer ticha ya mataili manne ya gari na akapiga A flati
 
Nadhani hta Mwingulu na Jaffo watakuwa wamemaliza kwa ushindi mkubwa. Siku hizi vyuo haviwafelishi wenye nazo. Kwa anayemjua Shigongo alivyo mjanja mjanja, kukata mkwanja ajifagilie siyo tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…