Jinsi Ex wangu alivyoniharibia binti yangu inaniuma sana

Wanawake ni watu wa hovyo sana zaidi ya sindano ya ncha kali jichoni ngoja nikupe mkasa niliokuwa nao hivi sasa

Nilikuwa na Ex wangu nilifanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja kipindi hicho ndo damu ilikuwa bado mbichi (balehe) yule dada alijifungua akapata mtoto Ila kiukweli niliona si mwanamke sahihi wa kuoa

Mtoto kakaa naye hadi katimiza mwaka na nusu huku natuma pesa ya matumizi kufika miaka mitatu yule mtoto akaniletea nyumbani kwangu mie nipo kazini

Ikumbukwe hapo ndo nimeoa sina muda mrefu wife ni mjamzito kaja kambwagia wife mtoto huku akimwachia ujumbe kwamba mtoto kamshinda kumlea kwa kuwa amepata mume wa kumuoa na hataki mtoto nyumbani kwake basi kaamua amlete kwa baba yake

Mie narudi kazini sina hili wala lile nakuta mabegi yapo mlangoni huku wife yupo kwenye kiti ananingoja anikabidhi funguo kwa jinsi nilivyomuona nikajua hapa usalama hakuna. Nikimsalimia pale lakini hakuitikia kumuuliza kulikoni akanambia nenda ndani kamfungulie neti mgeni wako

Laaahaula naingia ndani nakuta mtoto kumuangalia vizuri namuona Farida nikasema leo nishafedheheka

Nikarudi kwa mama mtu kumuuliza kulikoni mbona kile kiumbe kipo hapa akanipa mkasa wote

Kufupisha story yule mtoto nikamlea na wife akanielewa akamlea mtoto kama wake akamfunza maadaili yote ya mtoto anatakiwa awe nayo nashukuru Mungu yule mtoto kamaliza kidato cha nne lakini hakupasi vizuri mwaka huu amerudia mitihani.

Tatizo limeanza pale mama mzazi wa yule mtoto alikuwa anaumwa kaumwa sana kiasi Cha kulazwa kuchunguzwa aliambiwa ana uvimbe kwenye uzazi inabidi afanyiwe upasuaji yule mzazi mwezangu akaniomba yule binti aje amsaidie kumuhudumia na vile hakubahatika mtoto AISEEE hilo ndo kosa kubwa nililolifanya maishani mwangu kumruhusu yule binti yangu kwenda kwenye himaya ambayo hakutakiwa kuishi kwa umri alokuwa nao yaaani najuta mpaka kesho Kama baba nilishindwa kumfanyia maamuzi sahihi binti yangu

Yule binti alienda kumuhudumia mama yake kwa usaidizi wa mambo madogo pale nymbn ambako asubuhi anaenda shule jioni akirudi anamwangalia mama yake ilapita wiki mbili yupo kule mwezi nikijua bado yupo na mama yake nikimpigia mzazi mwezangu ananiambia hajambo anaendelea vizuri huku akinipa moyo binti yetu atamrudisha muda si mrefu

Nikakaa nikasema mbona siku zishakuwa nyingi na hakuna dalili ya mtoto kurudi nikaenda kule anapoishi yule mzazi mwezangu kufika pale nikagonga mlango kimya kuchungulia ndani taa hazijawashwa kiufupi hamna dalili ya kuwepo mtu ikabidi nizunguke kwa jirani niulize hawa watu wako wapi AISEEEE jibu nililolipata niliishiwa na nguvu

Yule jirani kanambia huyo dada hayupo kaenda zake kwao kikijini kuvuna nikamuuliza vipi yule binti yake yupo wapi akanambia yule binti kampeleka kwa shoga yake akakae mpaka arudi. Yaani nilipandwa na hasira maradufu lakini nikapiga moyo konde nikasema ngoja nimpgie muhusika inawezekana haya sio ya kweli

Kumpgia simu akapokea nikamuuliza uko wapi akanambia kaenda harusini kwa rafiki yake nikaguna kidogo mana jibu lile halikuniridhisha nikamwambia mie nakungoja hapa kwako mana nimekuja kukujulia hali na kumuona mwanangu alichonijibu sasa eti we nenda mie Leo sirudi Kama haurudi vpi kuhusu mtoto atalala wapi akanambia mtoto kampeleka kwa rafiki yake nilijihisi joto la ghafla sikuishia hapo nilitaka nimchimbe zaidi nikamwambia bhas nielekeze ulipo nije nikuone mara moja mie nirudi zangu nyumbani

Akasema sio rahisi kuonana Leo kiukweli kwa maneno Yale nilihakikisha asilimia mia huyu mtu hayuko mkoa huu nikakata simu

Huku nikjiuliza hivi huyu mwanamke yupo timamu kweli binti kamchukua kwangu kama alikuwa anasafari zake na hawezi kuwepo nyumbn kwanini asimrudishe nyumbani kuliko kumuachia uhuru mtto afanye anachojiskia na istoshe yule binti yupo katika majaribu ya usichana wake nikashindwa kupata jibu

Ikabidi nimpgie simu nimuambie ukweli kwamba kila kitu nishaambiwa na majirani zake mie Sina shida na yeye anielekeze mwanangu alipo nimrudishe nyumban akanambia atampigia simu shoga yake amwambie mtoto arudi zake nyumbn tukamalizana hvyo

Kesho yake mchana binti yangu anarudi nyumbani namuona binti yangu kabadilika kuanzia mavazi rangi mpaka maongezi yake kiufupi mwanangu kaja na kiguo utasema changudoa rangi yake nyeusi ya kuvutia yote imepotea kawa wa njano Kama papai hata ile furaha ya kurudi kwao hana kila nikiangalia uwezekano tena wa kusoma haupo mtoto kajazwa maneno na mama yake huyu mke wangu aliyemlea yule mtoto anaonekana mbaya mtoto kukaa nyumbn akatulia hawezi tena muda wote simu mkononi mguu na njia yaani ile miezi minane ilitosha kabisa kumbadilisha mwanangu na kuwa kiumbe tofauti kabisa wiki hii ninavoongea na nyinyi binti yangu amebainika mjamzito kumbana ananiambia ni rafiki wa mama yake ndo aliyemtia ujauzito ule.

Niliishiwa na nguvu kabisa nisijue nimfanye nini yule mtoto na mama yake kumbe wakati mama yake kasafiri yule mtoto na rafiki ya mama ake alikuwa akizalimishwa wazagamuane mpaka yule mtoto huo mchezo ukamkolea yaaani mpaka nakosa nguvu za kulikabili hili jambo.
 
Ulivyomtia mama yake mimba na yeye katiwa vilevile Kaa utulie utbu zambi zako, mweleweshe huyo mwanao akielewa sawa hajaelewa achana nae utaivuruga mpaka familia yako
 
baba farida kama baba farida, kapigwa na kitu kizito 😂😁😂😂😂
Wauweeeee
babu kijana tunae na tunatamba nae

Ila tupumzisheni wanawake, kesi yako ni wewe na mama farida, wanawake tunaingiaje kwenye u-ovyo hapo?
 
Huu si muda wa masihara sawa
 
Huu si muda wa masihara sawa
Niyatoe wapi hayo masihara kwa mfano. Umeleta thread yako umeweka limitations za kuchangia?. Ebu nipishe mie. Wewe ulipokuja na kauli ya wanawake watu wa ovyo na Mimi ndio nimekuletea huo uovyo ujue kweli ni wa ovyo haswaaaa.
Matatizo yako binafsi inakuwaje ujumuishe wanawake. Huyo aliekulelea mwanao uliesusiwa nae si mwanamke, jifunzeni kuwa na kauli nzuri kwa wanawake.
 
Mkuu kwa tabia zake za hovyo majiran wako mstari wa mbele kunipa ushirikiano
Usiwataje kwani mko mahakamani?. Wewe mfunue tu usimpe chanzo Cha taarifa atajificha wasione ayafanyayo maana anajua ni Watu wanaomfuatilia.
 
Wanawake ni watu wa hovyo sana zaidi ya sindano ya ncha kali jichoni ngoja nikupe mkasa niliokuwa nao hivi sasa

Nilikuwa na Ex wangu nilifanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja kipindi hicho ndo damu ilikuwa bado mbichi (balehe) yule dada alijifungua akapata mtoto Ila kiukweli niliona si mwanamke sahihi wa kuoa

Mtoto kakaa naye hadi katimiza mwaka na nusu huku natuma pesa ya matumizi kufika miaka mitatu yule mtoto akaniletea nyumbani kwangu mie nipo kazini

Ikumbukwe hapo ndo nimeoa sina muda mrefu wife ni mjamzito kaja kambwagia wife mtoto huku akimwachia ujumbe kwamba mtoto kamshinda kumlea kwa kuwa amepata mume wa kumuoa na hataki mtoto nyumbani kwake basi kaamua amlete kwa baba yake

Mie narudi kazini sina hili wala lile nakuta mabegi yapo mlangoni huku wife yupo kwenye kiti ananingoja anikabidhi funguo kwa jinsi nilivyomuona nikajua hapa usalama hakuna. Nikimsalimia pale lakini hakuitikia kumuuliza kulikoni akanambia nenda ndani kamfungulie neti mgeni wako

Laaahaula naingia ndani nakuta mtoto kumuangalia vizuri namuona Farida nikasema leo nishafedheheka

Nikarudi kwa mama mtu kumuuliza kulikoni mbona kile kiumbe kipo hapa akanipa mkasa wote

Kufupisha story yule mtoto nikamlea na wife akanielewa akamlea mtoto kama wake akamfunza maadaili yote ya mtoto anatakiwa awe nayo nashukuru Mungu yule mtoto kamaliza kidato cha nne lakini hakupasi vizuri mwaka huu amerudia mitihani.

Tatizo limeanza pale mama mzazi wa yule mtoto alikuwa anaumwa kaumwa sana kiasi Cha kulazwa kuchunguzwa aliambiwa ana uvimbe kwenye uzazi inabidi afanyiwe upasuaji yule mzazi mwezangu akaniomba yule binti aje amsaidie kumuhudumia na vile hakubahatika mtoto AISEEE hilo ndo kosa kubwa nililolifanya maishani mwangu kumruhusu yule binti yangu kwenda kwenye himaya ambayo hakutakiwa kuishi kwa umri alokuwa nao yaaani najuta mpaka kesho Kama baba nilishindwa kumfanyia maamuzi sahihi binti yangu

Yule binti alienda kumuhudumia mama yake kwa usaidizi wa mambo madogo pale nymbn ambako asubuhi anaenda shule jioni akirudi anamwangalia mama yake ilapita wiki mbili yupo kule mwezi nikijua bado yupo na mama yake nikimpigia mzazi mwezangu ananiambia hajambo anaendelea vizuri huku akinipa moyo binti yetu atamrudisha muda si mrefu

Nikakaa nikasema mbona siku zishakuwa nyingi na hakuna dalili ya mtoto kurudi nikaenda kule anapoishi yule mzazi mwezangu kufika pale nikagonga mlango kimya kuchungulia ndani taa hazijawashwa kiufupi hamna dalili ya kuwepo mtu ikabidi nizunguke kwa jirani niulize hawa watu wako wapi AISEEEE jibu nililolipata niliishiwa na nguvu

Yule jirani kanambia huyo dada hayupo kaenda zake kwao kikijini kuvuna nikamuuliza vipi yule binti yake yupo wapi akanambia yule binti kampeleka kwa shoga yake akakae mpaka arudi. Yaani nilipandwa na hasira maradufu lakini nikapiga moyo konde nikasema ngoja nimpgie muhusika inawezekana haya sio ya kweli

Kumpgia simu akapokea nikamuuliza uko wapi akanambia kaenda harusini kwa rafiki yake nikaguna kidogo mana jibu lile halikuniridhisha nikamwambia mie nakungoja hapa kwako mana nimekuja kukujulia hali na kumuona mwanangu alichonijibu sasa eti we nenda mie Leo sirudi Kama haurudi vpi kuhusu mtoto atalala wapi akanambia mtoto kampeleka kwa rafiki yake nilijihisi joto la ghafla sikuishia hapo nilitaka nimchimbe zaidi nikamwambia bhas nielekeze ulipo nije nikuone mara moja mie nirudi zangu nyumbani

Akasema sio rahisi kuonana Leo kiukweli kwa maneno Yale nilihakikisha asilimia mia huyu mtu hayuko mkoa huu nikakata simu

Huku nikjiuliza hivi huyu mwanamke yupo timamu kweli binti kamchukua kwangu kama alikuwa anasafari zake na hawezi kuwepo nyumbn kwanini asimrudishe nyumbani kuliko kumuachia uhuru mtto afanye anachojiskia na istoshe yule binti yupo katika majaribu ya usichana wake nikashindwa kupata jibu

Ikabidi nimpgie simu nimuambie ukweli kwamba kila kitu nishaambiwa na majirani zake mie Sina shida na yeye anielekeze mwanangu alipo nimrudishe nyumban akanambia atampigia simu shoga yake amwambie mtoto arudi zake nyumbn tukamalizana hvyo

Kesho yake mchana binti yangu anarudi nyumbani namuona binti yangu kabadilika kuanzia mavazi rangi mpaka maongezi yake kiufupi mwanangu kaja na kiguo utasema changudoa rangi yake nyeusi ya kuvutia yote imepotea kawa wa njano Kama papai hata ile furaha ya kurudi kwao hana kila nikiangalia uwezekano tena wa kusoma haupo mtoto kajazwa maneno na mama yake huyu mke wangu aliyemlea yule mtoto anaonekana mbaya mtoto kukaa nyumbn akatulia hawezi tena muda wote simu mkononi mguu na njia yaani ile miezi minane ilitosha kabisa kumbadilisha mwanangu na kuwa kiumbe tofauti kabisa wiki hii ninavoongea na nyinyi binti yangu amebainika mjamzito kumbana ananiambia ni rafiki wa mama yake ndo aliyemtia ujauzito ule.

Niliishiwa na nguvu kabisa nisijue nimfanye nini yule mtoto na mama yake kumbe wakati mama yake kasafiri yule mtoto na rafiki ya mama ake alikuwa akizalimishwa wazagamuane mpaka yule mtoto huo mchezo ukamkolea yaaani mpaka nakosa nguvu za kulikabili hili jambo.
Twende taratibu. Kwahiyo mzazi mwenzio aliuguzwa miezi nane feki ukiwa hujui?
 
Binti kafeli form 4 akiwa kwenye himaya yako, malezi mabovu yalianzia kwako... mwenza wako kaenda kumalizia tu kazi ya kumharibu mtoto.....

Halafu hii tabia ya kutusumbua kwa matatizo ya maamuzi yenu mabovu ikome!
... mnaokota machangu mnazaa zaa nao halafu mnakuja kutulilia huku...
 
Back
Top Bottom