Jinsi Freeman Mbowe alivyofanyiwa umafia ndani ya nchi yake

Uchunguzi ufanyike
Inawezekana hata Magufuli hakuwa na details
Za yote yaliyo endelea chini yake
QUOTE="The Boss, post: 38702245, member: 18247"]
Uchunguzi ufanyike
Inawezekana hata Magufuli hakuwa na details
Za yote yaliyo endelea chini yake
[/QUOTE]
Lengo la huo uchunguzi Ni Nini?
  • kupata ukweli Kama Magufuli anahusika ama hahusiki na uharamia huo?
  • kumtenganisha Magufuli na uharamia huo?
-kujua Kama Mbowe Kadanganya?
-kujua Kama TRA wamesingiziwa?

Mbowe kaishasema Sasa sheria ichukue Mkondo wake.

Lakini Kama Magufuli hahusiki je Ni raia wangapi wameteswa na Amiri jeshi mkuu katika nchi hajui.

Kuna Mambo mengine hayahitaji uchunguzi wala ushahidi.

Je ilikua Ni lazima na muhimu Sana kuvunja Club Bilicanas?

Je Magufuli pia hakujua Bilicanas inataka kubomolewa na Kisha ikabomolewa?

Je ilikua muhimu Sana kuvuruga mashamba ya mbogamboga ya Mbowe?
Je Magufuli pia hakujua Mashamba ya Mbowe yameharibiwa?

Mbowe Ni mtu mkubwa Sana hapa Tanzania( KUB) ,mbunge na Mwenyekiti wa chama kikubwa Sana Cha Upinzani hapa nchi.
Je Magufuli hakujua pia Mbowe Ameenda nje kutibiwa?
Je Magufuli pia hakujua Mbowe Yuko jela?

Je TRA inaweza kuwa na wataalam vilaza namna hiyo kumbambikia Kodi kubwa zaidi ya uwezo wa Mfanyabiashara?

Kama Ni hivyo Magufuli pia hajui uwezo wa wataalamu wa kufanya tax assessment wa Tanzania?

Usalama wa wawekezaji ukoje.

Tuwe waungwana kufanya uchunguzi Ni matumizi mabaya ya fedha za walipakodi.
Kila kitu kiko wazi.
Ukimuona mbwa juu ya mti ujue Kuna mtu kamuweka.
 
Mbowe kasema aliwakuongea na Jpm kuhusu hilo la kukwapuliwa pesa na kubambikiziwa kodi with all in vain.

Itoshe tu kusema mzee baba alikuwa anafurahia wenzake wakiteseka.
Tunaomba Majina ya maofisa wa TRA walioshiriki uchafu huu akiwemo kamishna aliyepita , tutahakikisha kisasi cha haki kinalipwa .

Ukishirikiana na Shetani ni lazima ugharamie ushetani wake , hakuna namna yoyote ile ya kuponyoka
Hao tutawaonea tu, hao Ni sawasawa na Bunduki tu,mfyatuaji mwingine.
 

Story ya upande mmoja.
 
Huwa nahisi Jiwe kuna kitu hakikuwa sawa kwenye akili yake. In short jamaa ni kama vile alikuwa na mental problem. Hakuwa anabehave normally
Wanasema alishawahi kuugua kichaa katika maisha yake.kwahiyo tulikuwa tunaongozwa na kichaa na alishawahi kusema akiwa singida kwamba mimi ni kichaa.we don't nee to prove it!
 
Unaamini vip maneno ya Mbowe pekee bila kuwahoji TRA? hivi mnafanya kila mtu ni mfuasi wa Mbowe ataamini tu anachosema? ebu acheni utoto, lazima tupate maoni ya TRA ndio unaweza kusema chochote
 
Mbowe kasema aliwakuongea na Jpm kuhusu hilo la kukwapuliwa pesa na kubambikiziwa kodi with all in vain.

Itoshe tu kusema mzee baba alikuwa anafurahia wenzake wakiteseka.
Una amini vip maelezo pekee ya Mbowe? anajua kabisa kuwa JPM amekufa halafu anamtaja, tutathibitisha vip maneno yake wakati alieongeaaa nae kafa
 
Uchunguzi ufanyike
Inawezekana hata Magufuli hakuwa na details
Za yote yaliyo endelea chini yake

Kwa taarifa hayo yalikuwa ni maelezo yake kwa 100%, yule hakuwa binadamu bali ibilisi.
 
Unaamini vip maneno ya Mbowe pekee bila kuwahoji TRA? hivi mnafanya kila mtu ni mfuasi wa Mbowe ataamini tu anachosema? ebu acheni utoto, lazima tupate maoni ya TRA ndio unaweza kusema chochote

Maoni gani mbona wamefungua account baada ya Reis Samila kusema wafungue si wangesema account sina makosa kisheria. TRA wametumika sana hata kwa askofu Kakobe kila mtu anafahamu. Waliohusika watajuwana na Mungu wao maana malipo ni hapa hapa kama walikubali kutenda dhambi itawarudia wao na familia zao.
 
Kwahiyo kila kilichofanyika ni magufuli siyo!
Katiba ikibadilika rawama kwa rais zitapungua huenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…