Jinsi Freeman Mbowe alivyofanyiwa umafia ndani ya nchi yake

Mbowe kasema aliwakuongea na Jpm kuhusu hilo la kukwapuliwa pesa na kubambikiziwa kodi with all in vain.

Itoshe tu kusema mzee baba alikuwa anafurahia wenzake wakiteseka.
Halafu kila jumapili unakwenda kanisani kumuomba Mungu huku unawanyanyasa wenzako kisa ni kutofautiana ki itikadi za siasa.
 
Duuh.. kumbe jiwe alikuwa mtumishi kamili wa sheitwani.

Na hapo bado shuhuda za mauaji
 
Huu ni upande wa Mbowe,

Hatujasikia upande wa TRA wala Magufuli anayetuhumiwa hapa.
 
Mbowe usidhani watanzani wote ni kama Nyumbu unaowaongoza
Kumbe mnatengeza njia ya kuwaibia Watanzania eti mfidiwe. Hakuna fidia itakayotoka kwenda kwa wezi kubuhu.
 
Unaamini vip maneno ya Mbowe pekee bila kuwahoji TRA? hivi mnafanya kila mtu ni mfuasi wa Mbowe ataamini tu anachosema? ebu acheni utoto, lazima tupate maoni ya TRA ndio unaweza kusema chochote
mimi nimetoa ya Mbowe,wewe toa ya TRA
 
Tushabadilisha flash ya Maisha matakatifu
 
Ebu Soma Tena acha ujinga usijione unaakili kumbe ni mjinga wa kutupa
Acha utoto, Mbowe kaeleza wazi baada ya kuona account zinafungwa, akaona isiwe kesi naweza kwenda kufanya biashara ata Dubai, swali langu alipokuwa huko nje kwanini hakusema aliyoyasema baada ya JPM kufa? usijifanye unielewi, wakina Ansbert Gulumo tulikuwa tunawasikia sana ata JPM alipokuwa hai
 
Sasa ulitaka wamgomee Rais Samia lazima wafungue ata kama Mbowe analo kosa au hana, lakini huwezi kuamini upande wa Mbowe tu bila TRA kusema na wao
 
Aende zake huko, Nchi yake Nchi gani? Mtu alizoea kukwepa kodi, ujanja ujanja, "mission town" kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…