Mkuu mimi nazani inategemea na Aidea na ni ya nini, Aidea zinafanana sana Duniani na wanacho fanya watu no copy and Aditing na pest,
Mfano Mvumbuzi wa magari Dunuani ni mmoja tu HENRY FORD, LAKINI BAADAE WATU KIBAO WALIANZA KUTENGENEZA MAGARI KWA AIDEA YA HENRY FORD ILA WAKAWA WANAKUJA NA MAJINA YAO,
- Angalieni mfano wa simu kuti ni kilekile ila wanacheza na majina na feature chache tu
-Ukiingia kwenye website ya BID NETWORK kuna Aidea za kufa mtu mle na ziko open kila mtu anasoma na mtu unaweza chukua ukaedit kidogo na kufanyia kazi,
- Kwa dunia ya sasa watu wamekuwa wajanja sana wanacheza na vitu vichache tu, cheki mfano wa sabuni za unga zote zinafanana ila wanacheza na majina tu,
- Ukiangalia hata mvumbuzi wa Ndege alikua ni mmoja tu but leo hii kuna nchi kibao na makampuni kibao yanatengeneza ndege kwa aidea ile ile ya mvumbuzi wa kwanza angalia BOENG NA AR BUS zinafanana kila kitu isipo kuwa majina tu,
- Na kwa Tanzania yetu hii kuuza Aidea ni swala gumu sana mtu atakuja anataka aidea utamueleza aidea yako then atajifanya haitaki na baadae ataenda kuifanyia kazi na atabadilisha vitu vichache tu na itaonekana ni mpya hata kama umesajiri ya kwako kuna vitu vitatofautiona hivyo kuonekana hajaiba wazo lako, kumbe ukweli ni wazo lako,
- NA Hii iko hata kwa wazungu huko, cheki hata makampuni ya vifaa vya kijeshi wanajitahidi sana kuficha baadhi ya feature za product ili wengine wasiende kutengeneza the same,
- Ingekuwa ni hivyo China angekwisha shitakiwa sana, china ana kopy ana edit na kupest, na ukisha edit tu umemaliza kazi, mfano wewe umeiba teknolojia ya magari ya right hand wewe ukaedit ukatengeneza ya left hand umemaliza kila kitu hapo,