Wadau mimi ni mnunuzi wa maziwa. Mara kadhaa nakuja gundua maziwa yamechanganywa na maji pale ninapo yachemsha. Hapo tayari nimekuwa nimepata hasara kwani tayari nimeshayanunua.
Kama kuna njia rahisi ya kuyagundua kabla naomba msaada ili kupambana na wauzaji wasio waaminifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna njia rahisi ya kuyagundua kabla naomba msaada ili kupambana na wauzaji wasio waaminifu.
Sent using Jamii Forums mobile app