Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga hawaishi na kila kukicha wanazaliwa mkuuInakuaje unapoteza muda kuandika ujinga kama huu?
Cjui kama itasaidiaWadau mimi ni mnunuzi wa maziwa. Mara kadhaa nakuja gundua maziwa yamechanganywa na maji pale ninapo yachemsha. Hapo tayari nimekuwa nimepata hasara kwani tayari nimeshayanunua.
Kama kuna njia rahisi ya kuyagundua kabla naomba msaada ili kupambana na wauzaji wasio waaminifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukinunua maziwa pale pale mwaga chini kidogo, kama yamechanganywa na maji yatapotea ndani ya dakika tu lakini kama ni safi yatakuwa kama ukoko hiviWadau mimi ni mnunuzi wa maziwa. Mara kadhaa nakuja gundua maziwa yamechanganywa na maji pale ninapo yachemsha. Hapo tayari nimekuwa nimepata hasara kwani tayari nimeshayanunua.
Kama kuna njia rahisi ya kuyagundua kabla naomba msaada ili kupambana na wauzaji wasio waaminifu.
Sent using Jamii Forums mobile app