DuuhWeka Vumbi la mkaa
Exactly.....Wakati nipo mdogo...Ulikuwa unachukua kiasi kidogo unayamwaga katika ardhi .. Yakikauka haraka bhasi ujue yana maji kwa sababu maziwa kwa asili yake ni mazito
Ila ndugu sidhani kama kuna muuzaji wa kawaida asiyechanganya maji ila kinacholeta utofauti ni kiasi t
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndio jibu sahihi zingatia. Nakumbuka brockside walifunga kiwanda Arusha kwa kukosa uaminifuKama unanunua kiasi kikubwa sana tumia lactometer kupima density ya maziwa mkuu. Density ya wholemilk ( 1.037kg/l) ni tofauti na density ya maziwa yaliyochanganywa na maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo mbinu ninayotumiaChukua njiti ya kiberiti zamisha kwny maziwa hafu jarbu kuwasha ukiona haijawaka njiti ujue kuna maji ila ukiona imewaka bas hakna maji
Inakuaje unapoteza muda kuandika ujinga kama huu?Mbona simpo tuu palepale yaweke kwenye lita moja hakikisha una simu na iko on weka simu yako kwenye maziwa harafu omba simu ya muuzaji na upige simu ikiita tu ujue maziwa og
NB: jaribio hili litaenda haraka kama utaweka simu aina ya Iphone 6 na kuendelea
Da killer's
Ukiweka njiti kwenye maziwa itawakaje sasa? maana si ina maziwa tayari au atangoja mpaka ikauke?Chukua njiti ya kiberiti zamisha kwny maziwa hafu jarbu kuwasha ukiona haijawaka njiti ujue kuna maji ila ukiona imewaka bas hakna maji