Jinsi gani nitajua maziwa yaliyowekwa maji

Majibu ya humu yanaonyesha watu wana stress wanamalizia hasira kwenye huu uzi
 
Nenda kwenye duka la kuuza vifaa vya maabara.. Waambie wakuuzie kipimo cha kupimia relative density ya vimiminika (hydrometer).. Ukiona maziwa unayonunua yana density ndogo kuliko inayotakiwa jua yametiwa maji.
 
Kwa dar hapa maji hayakwepeki,Ila at least yawe sio mengi.

Ila maziwa pure ni mtihani.
 
Cjui kama itasaidia
Chugiak Maziwa Kikuchi we ka kwe nye kiganja Kisha fanya kama unageuza kiganja China unayamwaga tartiiibu
Yakienda faster Yana maji Yakiwa mazito kushuka hayana maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukinunua maziwa pale pale mwaga chini kidogo, kama yamechanganywa na maji yatapotea ndani ya dakika tu lakini kama ni safi yatakuwa kama ukoko hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…