kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
nashukuru hivi hamna chombo cha kuhifadhi zisiharibike mbali kwa wale tusiokuwa na mafrijiLabda wiki mbili, uwe unanunua zilizo na maganda ukitaka kupika ndio unazimenya zikibaki kwenye maganda zinasogea sogea,
Pia uweke sehemu ya wazi uzitandaze usiziweke kwenye mfuko.
Hakuna chombo cha kuhifadhi njegere mbichi zisiharibike.... Labda utumie zile kavu hapo zitadumu.nashukuru hivi hamna chombo cha kuhifadhi zisiharibike mbali kwa wale tusiokuwa na mafriji
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante hivi kuna njegere kavu dada sijawahi kuziona me naonaga hizi zenye maganda za kijaniHakuna chombo cha kuhifadhi njegere mbichi zisiharibike.... Labda utumie zile kavu hapo zitadumu.
samahani hivi njegere kavu zinafanana na hizi za kijani je zinafaa kupikia wali yaani uchanganye uwe wali wa njegere...
mbona zipo njegere kavu, au ni suala la mapishi na vitamini?
...
Zipo tele tu.ahsante hivi kuna njegere kavu dada sijawahi kuziona me naonaga hizi zenye maganda za kijani
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinafaa kupikia yes ila nadhani zinachemshwa kidogo kuondoa ugumu.samahani hivi njegere kavu zinafanana na hizi za kijani je zinafaa kupikia wali yaani uchanganye uwe wali wa njegere
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsanteZipo tele tu.Zinafaa kupikia yes ila nadhani zinachemshwa kidogo kuondoa ugumu.
wengine freezer hatuna dadaIla ukizifreeze unaweza kutumia miezi
Unless otherwise usizimenye
ahsante nitajaribu hiyo,hivi nisipozimenya wiki zinaweza kufikishaUnless otherwise usizimenye
Dah...umemaliza mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinunue nyingi, nunua kidogo kidgo kila unapohitajj, mwache mwenye genge akutunzie
Sent from my iPhone using JamiiForums
Likoje hill mkuu dah sijawahi kusikiakuna njia ya kutumia friji la mkaa, nadhan itakufaa, nenda google, alaf tafuta friji la mkaa
Sent using Jamii Forums mobile app
jenga banda kama inavyoonekana kwenye picha, kuta zmejengwa kwa wire mesh nje na ndan alaf unaweka vipande vya mkaa katikati, humo utahifadhi mboga, matunda na vinywaji kwenye hali ya ubaridi