Jinsi gani nitaweza kuhifadhi njegere muda mrefu bila kutumia friji?

Jinsi gani nitaweza kuhifadhi njegere muda mrefu bila kutumia friji?

Jenga kwa miti kajichumba kadogo futi mbili kwa mbili kwa mbili ukuta wake weka mkaa mwagia maji huo mkaa, mfuniko tumia majani. Miaka Mia hiyo, hata ukitaka kupoza maji ya kunywa twende kazi. Hiyo ni friji ya bush

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hii
Screenshot_20190124-192611.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom