well, usingizi ni muhimu katika kufanya ubongo ufanye kazi inavyostahili, kwa hiyo dont skip a sleep isipokuwa avoid unnecessary nap when u study na waweza kufanikiwa kwa kufanya yafuatayo,
fanya mazoezi jioni walau kwa dk 40 kama jioni una vipindi basi fanya asubuhi, jitahidi kuwa na evening walk walk ya kuclear ur mind, pia look at what u eat, usile misosi mizito jioni then ukaenda kusoma ur brain will be busy digesting, jiwekee to do list stickers zenye rangi mbalimbali kwenye meza yako ya kusomea and make sure hufanyi kitu nje ya timetable zako,no surprise dinner wala out kama haipo kwenye ratiba i mean usiperekwe perekwe, jiwekee winning awards like kama nikimaliza hii topic najizawadia kutazama movie moja. pia ingia youtube na udownload different motivation videos im telling u they help a lot. but at last kuwa sorounded with the positive people, positive relationship and stay away from drugs.