Tatizo ni tamaa na kukosa mitaji
Hapo kuifanya serious kama kazi nyingine! Mbona watu wanachbua sana games lakini wakiweka mpunga tu holaSitegemei KUACHA kubet, hasa FOOTBALL na basketball[emoji4]
Wanaofeli kwenye BETTING,
Wanafeli kwa kuifanya betting Kama mchezo wa kamari (yaani mchezo wa kubahatisha), Means hawawi serious enough na wanachokifanya.
Betting ukiifanya seriously kama kaz zingine, hutojutia kamwe[emoji4]
Ushazoea kupigwa ATM so unadhani kila mtu ni choko kama weweshostie jichokonoe urambe
Ushazoea kupigwa ATM so unadhani kila mtu ni choko kama wewe
Kwavile we ni shosti unadhani kuwa kila mtu ni shosti...? Kmmmkoooo nguruwe pori weeShosti kumbe huwa unapigwa ATM poleee
Kwavile we ni shosti unadhani kuwa kila mtu ni shosti...? Kmmmkoooo nguruwe pori wee
Aya basi ebu uwe unanidondoshe odds 1.7 tuu kwa sikuSitegemei KUACHA kubet, hasa FOOTBALL na basketball[emoji4]
Wanaofeli kwenye BETTING,
Wanafeli kwa kuifanya betting Kama mchezo wa kamari (yaani mchezo wa kubahatisha), Means hawawi serious enough na wanachokifanya.
Betting ukiifanya seriously kama kaz zingine, hutojutia kamwe[emoji4]
Usitegemee betting kuendesha maisha yako kwani siku zote washindi ni wachache ila washindwa ni wengi.Hii biashara inamuweka ndugu yangu mjini,, siwezi kuiponda, wajinga ndo waliwao
Nani kakuomba ushauri? Unanijua mpk kusema nategemea betting? Hebu acha shobo weweUsitegemee betting kuendesha maisha yako kwani siku zote washindi ni wachache ila washindwa ni wengi.
Ila bangi unavuta?Katika vitu ambavyo sitawahi kuja fanya...
Sitawahi kuvuta...Ila bangi unavuta?
Usi bet kabisa. Ukishazoea na tamaa juu za kushindwa, kutoka ngumu. Kama wewe sio mtu wa ku bet, usianze kabisa. Kuna simu nilikwenda casino na$200, nikapata $ 400. Nikaenda nyumbani na furaha sana. Next weekend tukaenda tena, nikaanza na $200 tena, ikaliwa yote kama dakika 8 tuu. Nikaondoka, sijawahi tena kucheza, ilikuwa mwanzo na mwishoTatizo la uraibu (addiction) wa kamari linaendelea kukua siku baada ya siku kwa vijana wengi wa Kiafrika hususani Tanzania. Makampuni ya kamari yanakimbilia sana katika mataifa ya kiafrika ambako umaskini umetamalaki kuja kuwekeza huku wakilenda soko lao kubwa kuwa ni vijana.Vijana ambao wana ndoto ya kupambana na kuondokana na umasikini.
Hali hii imekuwa kinyume kwani wengi wa vijana hao wameendelea kupoteza pesa kila kukicha kitendo kinachowapelekea kupata msongo wa mawazo,kutokujiamini, wasiwasi na pia kupoteza dira kiuchumi.
Vijana wengi wamekuwa wakificha tatizo hili katika familia zao au kwa marafiki zao yaani ni kama vile waraibu wa madawa ya kulevya wasivyotaka kujulikana kuwa wana matatizo ya ulevi wa madawa ya kulevya.
Karibu katika uzi huu ueleze matatizo unayokumbana nayo katika Kamari (betting) na pia waliofanikiwa kuacha tatizo hili waeleze njia walizotumia kufanikiwa kuacha.
Asanteni na karibuni.
Kila mkamaria amejawa na tamaa (greedy) inashangaza watu kusema usibeti kwa tamaa unajiuliza yeye kaenda Casino kufanyaje kama sio tamaa za kupata pesa zaidi?Usi bet kabisa. Ukishazoea na tamaa juu za kushindwa, kutoka ngumu. Kama wewe sio mtu wa ku bet, usianze kabisa. Kuna simu nilikwenda casino na$200, nikapata $ 400. Nikaenda nyumbani na furaha sana. Next weekend tukaenda tena, nikaanza na $200 tena, ikaliwa yote kama dakika 8 tuu. Nikaondoka, sijawahi tena kucheza, ilikuwa mwanzo na mwisho