Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Tatizo lako unashinda sana jamii face the reality and move the fuk away from that toxic so called relationship.
 
I wish ungejua my situation huenda ungesema chochote ili nipone[emoji25][emoji25] hadi nafikia kuandika humu ujue nipo serious mkuu sipo sawa.
Naelewa situation unayopitia mkuu Pole sana unajua watu hawaelewi kuna soulmate akikukaa amekukaa hatoki moyoni hata udate na wengine wangapi bado hawawezi replace hiyo nafasi yake though unakuta ni mtu wa kawaida sana mapenzi huwa hayaoni
 
Daaaah sitaki kuamini wee cc ndo unateseka na mapenzi kiasi hicho, nwei poleeeh saana.
JAH atakusaidia utapona.
 
Daaaah sitaki kuamini wee cc ndo unateseka na mapenzi kiasi hicho, nwei poleeeh saana.
JAH atakusaidia utapona.

Mapenzi chombo cha moto, yanahitaji lesseni kama kwenye udereva wa magari, pikipiki, ndege n.k

Sometimes, love is a loaded gun.
 
Inaonekana alikukamata kwelikweli

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…