Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Hajaibuka mwingine bado? Jamani mbona it's taken too long na huyo ex mate wako.

Kazi + masomo, still unahitaji mtu. Au bado unaangalia options?
Aah now napumzika kidogo kabla sijaingia huko tena.
 
Kuna serie inaitwa SEXY LIFE naona ndio huo mchezo demu kaolewa kwenye ukahaba na kuzaa lkn bado hajaridhika na maisha yake anakimbilia koki yake kama hana akili vizuri .Dada angu kuwa na msimamo kama huna msimamo utaendesha tu na mawazo potofu.
 
Mimi kwa mtazamu wangu siku hizi hakuna mapenzi ya ilove you hicho kitu kishakufa zamani cku hizi kuna mapenzi ya PESA na ndio mapenzi hayo mengine kwenye kitanda ni routine tu za kawaida mm naona huyu mdada labda ana Financial problem ndio hicho anacholilia tuseme kakwamaa ,mapenzi ukiwa na mkwanja una gari ya nguvu una nyumba hapo demu lazima achanganyikiwe.
 
Wewe ushakunywa chai au umeamka na bangi
 
Ungejua nilichokua nakimiss japo kidogo tu usingeandika kuhusu financial problem, sijawahi kumpendea mtu pesa zake na wala sidhani kama siku ntaweka pesa mbele kwenye mahusiano, ilikua ni upendo tu from bottom of my heart na pesa zenyewe wala hakua nazo kama mimi tu. Natamani nikudokeze nilichokua nampendea ila basi ngoja niishie hapa. Mchana mwemaa
 
Inaonyeshea na jamaa nae anakuja kwenye ibada so unamuona ana chuma chengine any way your financial uko vizuri sioni sababu ya kungangania hivyo ikiwa uko vizuri kipesa ,hakuna mapenzi ya kweli watu ni maslaha tu .
Ndiyo huwa anakuja na babe mkali kuzidi mimi dah maisha haya na ananiringishia kabisa
 
Pole sana mkuu,binafsi sijawahi kukumbana na hiyo changamoto japo napitia wakati mgumu na mpenzi wangu... Busara isipotumika huenda yakanifika yaliyokufika....maana huyu mtoto wa kichaga nampenda kupita maelezo.
Tuhadithie. Nikupe mbinu za kijeshi za kumdhibiti....
 
Pole sana mtu wangu. I hope u are doing okay now.
 
Na vile vile waweza kuwa na kila kitu na bado usipendwe hata kidogo love huwa ni intimacy flani hivi yenye connection kubwa, waweza kuwa mhongaji mzuri yet nikawa sikubali vilevile
 
Na vile vile waweza kuwa na kila kitu na bado usipendwe hata kidogo love huwa ni intimacy flani hivi yenye connection kubwa, waweza kuwa mhongaji mzuri yet nikawa sikubali vilevile
Haiwezakani hata kdg mapenzi ya bongo bali dunia mzima sasa ni pesa tu au sexy kakuchapa vizuri hayo mengine yanfuta baadae
 
Pole sana mdau! Hapo maumivu ni noway, ukitaka kuyavuka hayo ni kuchukuwa tu uamuzi mgumu unafanya kama vile umepoteza pesa mchangani, umetafuta umekosa na hujuei nani kaokota! So unaamua kupotezea tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…