financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #501
Wewe ni mkewe? Anakuchukuliaga uber pia?Nilidhani haijatosha nikuchukulie ubber!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mkewe? Anakuchukuliaga uber pia?Nilidhani haijatosha nikuchukulie ubber!
Ucjal bbyWewe ni mkewe? Anakuchukuliaga uber pia?
Sawa MrsUcjal bby
Okei drSawa Mrs
[emoji23][emoji23][emoji23]et nmekukomesha[emoji16][emoji16][emoji16]No ipo hadi nauli umeweka ila tu nasema hivi umenikomesha[emoji23]
Well said dada.Sidhani kama kuna njia nyingine.USIJARIBU nkamu
Haya mambo moyo upo kwa A, unaenda kujilazimisha kuwa na B: ni kujitesa nafsi yako na kumtesa huyo B ambaye possibly ana pure intention kwako. Na kama hujamtoa mtu kwenye nafsi yako; ni ngumu sana hata kuona na kukubali upendo unaonyeshwa na wengine huku nje. Huwezi kuendelea na mahusiano mengine au maisha yako tu kwa sababu utakuwa bado una matumaini kuwa fulani atarudi. Muachilie nafsini mwako, amini kuwa hakuwa wako.
I think this can work. Let her try it!!Mie naamini kwamba yeye pia aliwahi kukuudhi katika namna moja au nyingine kwenye mahusiano! Mchukie utapona haraka. Jenga hali ya kukumbuka mabaya yake utamsahau haraka mno na utapona katika speed ya ajabu. Fanya hivyo tengeneza hali ya kumchukia kuwa alikuumiza kwa abc sio mtu mzuri theres a better person than him will come!
Wewe hayajakukuta, huenda naye financila services iwahi kuyatamka haya!Yani ungekuwa dada yangu, alafu nimesoma hii komenti, ningekupiga sana mijeredi mkuu wangu
kwasasa nimeshamove on kabisa sina mpango na yule ex tena,
Mkuu pole Sana kwa yalikusibuHello wakuu, napenda nitoe mrejesho wangu.
Kwanza nawashukuruni wote kwa comments zenu hakika zimenisaidia sana kuvuka kipindi kigumu, kwasasa nimeshamove on kabisa sina mpango na yule ex tena, pia nimejikeep busy kazini na masomo so niko busy na inanisaidia kutokua na mawazo hayo.
Nawashauri wengine wote kusema ya moyoni yanayowasibu ili wasaidike kuliko kukaa kimya mwenyewe.Tuendelee kusaidiana japo kwa mawazo tu ni nzuri, mbarikiwe wote[emoji7]
Ahsante mkuu! Ntakua makini zaidi👏Hongera,,, achana sasa na mapenzi zingatia shule na shughuli zako zingine...
Wanaume sisi ni wale wale,,, so ukipata ingizo jipya make sure unakuwa makini zaidi..
Mapenzi uFalla sana sometimes.
Thank double 6, nimeshapoa
Mkuu hii inaitwa point of no return! Haitowezekana kabisa I'm sureMimi nina uhakika siku akija akiongea vizuri, kuomba msamaha na vizawadi unaweza kukumbushia kidogo
Amen"MBELE NINAENDELEA"
"NINAZIDI,KUTEMBEA"
"Maombi huyazidishe, Eeeh BWANA unipandishe
Kweli mkuu! Hajawahi kupatwa na wala simuombei apatwe!Wewe hayajakukuta, huenda naye financila services iwahi kuyatamka haya!
Mkuu hii inaitwa point of no return! Haitowezekana kabisa I'm sure
Hajaibuka mwingine bado? Jamani mbona it's taken too long na huyo ex mate wako.Hello wakuu, napenda nitoe mrejesho wangu.
Kwanza nawashukuruni wote kwa comments zenu hakika zimenisaidia sana kuvuka kipindi kigumu, kwasasa nimeshamove on kabisa sina mpango na yule ex tena, pia nimejikeep busy kazini na masomo so niko busy na inanisaidia kutokua na mawazo hayo.
Nawashauri wengine wote kusema ya moyoni yanayowasibu ili wasaidike kuliko kukaa kimya mwenyewe.Tuendelee kusaidiana japo kwa mawazo tu ni nzuri, mbarikiwe wote[emoji7]