Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

USIJARIBU nkamu

Haya mambo moyo upo kwa A, unaenda kujilazimisha kuwa na B: ni kujitesa nafsi yako na kumtesa huyo B ambaye possibly ana pure intention kwako. Na kama hujamtoa mtu kwenye nafsi yako; ni ngumu sana hata kuona na kukubali upendo unaonyeshwa na wengine huku nje. Huwezi kuendelea na mahusiano mengine au maisha yako tu kwa sababu utakuwa bado una matumaini kuwa fulani atarudi. Muachilie nafsini mwako, amini kuwa hakuwa wako.
Well said dada.Sidhani kama kuna njia nyingine.
 
Mie naamini kwamba yeye pia aliwahi kukuudhi katika namna moja au nyingine kwenye mahusiano! Mchukie utapona haraka. Jenga hali ya kukumbuka mabaya yake utamsahau haraka mno na utapona katika speed ya ajabu. Fanya hivyo tengeneza hali ya kumchukia kuwa alikuumiza kwa abc sio mtu mzuri theres a better person than him will come!
I think this can work. Let her try it!!
 
Hello wakuu, napenda nitoe mrejesho wangu.

Kwanza nawashukuruni wote kwa comments zenu hakika zimenisaidia sana kuvuka kipindi kigumu, kwasasa nimeshamove on kabisa sina mpango na yule ex tena, pia nimejikeep busy kazini na masomo so niko busy na inanisaidia kutokua na mawazo hayo.

Nawashauri wengine wote kusema ya moyoni yanayowasibu ili wasaidike kuliko kukaa kimya mwenyewe.Tuendelee kusaidiana japo kwa mawazo tu ni nzuri, mbarikiwe wote[emoji7]
Mkuu pole Sana kwa yalikusibu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hongera,,, achana sasa na mapenzi zingatia shule na shughuli zako zingine...

Wanaume sisi ni wale wale,,, so ukipata ingizo jipya make sure unakuwa makini zaidi..

Mapenzi uFalla sana sometimes.
Ahsante mkuu! Ntakua makini zaidi👏
 
Hello wakuu, napenda nitoe mrejesho wangu.

Kwanza nawashukuruni wote kwa comments zenu hakika zimenisaidia sana kuvuka kipindi kigumu, kwasasa nimeshamove on kabisa sina mpango na yule ex tena, pia nimejikeep busy kazini na masomo so niko busy na inanisaidia kutokua na mawazo hayo.

Nawashauri wengine wote kusema ya moyoni yanayowasibu ili wasaidike kuliko kukaa kimya mwenyewe.Tuendelee kusaidiana japo kwa mawazo tu ni nzuri, mbarikiwe wote[emoji7]
Hajaibuka mwingine bado? Jamani mbona it's taken too long na huyo ex mate wako.

Kazi + masomo, still unahitaji mtu. Au bado unaangalia options?
 
Back
Top Bottom