Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Usijilazimishe kumsahau Utaumia,bali ishi kama Vile bado upo nae,utamsahau tu.
hii nzuri sana, unaishi kama vile amesafiri eti mkuu? au inakuwaje maana kama walizoea vile vi out vya hapa na pale halafu useme aishi kama vile yupo imekaaje hii
 
ujengewe sanamu Cariha, umesema maneno mazuri hadi umenifanya nifurahi
 
Ukiona bado anakuzingua muendee pale kijiji cha chipu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan FS tangia kile kpnd hujapona tuu majeraha?mimi nishaingia kwenye mausiano mara tatu na yanavunjika na nmesharecover kwa mara zote hizoo..ww unakwama wapi?
 
Ilikuwa ni ngumu mno kukaa sawa.ilinichukua miaka karibu minne au mitanoπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί

Sijawahi kuruhusu mapenzi.naogopa kuumia.kilichobaki ni kutamaniana na kupiga game tu.

Huwa napenda kiboya sana,natoa uaminifu asilimia zote na huwa inanigharimu.
Natamani nimtengene mpenzi wangu mwenyewe πŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
[emoji3][emoji3][emoji3]# mdaka chozi.
 
Umeongea kwa hisia sana pole
 
Pole sana financial services Ulikuwa kwenye kipindi kigumu mnoo kama uliweza kuvuka hapo basi hakuna jambo litakalokusumbua Dunia hii! Sio mapenzi tu, hata mambo mengine hakuna litakalokuja kukuumiza tena ushakuwa Legend! Kwa sasa Usiingie kabisaaa kwenye mahusiano yani usijaribu kabisaa tuliza kichwa mpka uwe sawa kabisaaaaaa! Maana ukiingia tu sasa hv utakuwa una ile mindset ya kumlinganisha huyo mpya na yule pimbi aliyekutesa, tena sana sana utataka huyo mpya amzidi yule pimbi kitu ambacho utajikuta unazagamuliwa na watu tofauti tofauti coz utakuwa unaonja unaona hafai! Bora utulie ufanye mambo yako usisahau kusali sana ikibidi jiunge na kwaya na vikundi mbali mbali vya kanisa ili uwe unakaa na watu kwa muda mrefu maana ukijifungia fungia peke yako ndo yanakuja mawazo ya huyo pimbi aliyekutesa
 
mawazo ya huyo pimbi yanakujaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Ahsante sana mkuu! Now niko poa kabisa na nimekua busy kiasi! Nikitoka job naunganisha darasani! Kurudi home usiku + uchovu naishia kulala muda wa kufikiria tena hamna. Hilo neno pimbi sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Kwasasa upo single?
 
Utakuwa sawa financial services, jitahidi kukaa karibu na Mungu zaidi,,,wazungu wanasema muda huponya...so usikate tamaa ,,amini kuna sababu kwa kila jambo,,,liwe zuri ama baya Mungu ana sababu
Amen, thank you so much dear Jj, am now ok 😘
 
Mapenzi mabaya! financial services

Tumia muda huu kujipa thamani, ambayo ulimpa mtu na hakuiona. Jifunze kujipenda na kujithamini, kwani kuna muda binadamu tunawapa watu thamani na tunajisahau kiasi gani sisi tuna thamani, na mara nyingine hata hatuioni thamani bila kuwa na yule unayeamini anayapa thamani maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…