jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
kwa haya madini itabidi nije nazo, cjui nitaandika kwenye kikaratasi? nisije sahau hata pointi moja[emoji23][emoji23][emoji23]uje na hela sitoi bure bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa haya madini itabidi nije nazo, cjui nitaandika kwenye kikaratasi? nisije sahau hata pointi moja[emoji23][emoji23][emoji23]uje na hela sitoi bure bure
hii nzuri sana, unaishi kama vile amesafiri eti mkuu? au inakuwaje maana kama walizoea vile vi out vya hapa na pale halafu useme aishi kama vile yupo imekaaje hiiUsijilazimishe kumsahau Utaumia,bali ishi kama Vile bado upo nae,utamsahau tu.
ujengewe sanamu Cariha, umesema maneno mazuri hadi umenifanya nifurahiTime heals everything thing don't force kumsahau, delete pictures and block number yake with time uta forget na usimchukie rohoni, hyo experience ni mbaya Sana ila ukipona utajiona mjinga kumpenda mtu wa hivo,pia sali Sana na wewe mtoe moyoni usiwe na kinyongo ili u attract mwanaume atakayekupenda, ukiendelea kumweka kichwani utaendelea ku attract wanaume ma player tu, pia pumzika mahusiano loh. Na Bora imekupata Sasa kabla hujaingia kwenye ndoa ndo ingekuwa pain maradufu sometimes we tend to love people who do not love us aisee. Pole wish you quick recovery and no situation is permanent in life.
Asante dear sanamu langu lichongwe ikulu ya chamwinoujengewe sanamu Cariha, umesema maneno mazuri hadi umenifanya nifurahi
Ukiona bado anakuzingua muendee pale kijiji cha chipuHello wakuu, napenda nitoe mrejesho wangu.
Kwanza nawashukuruni wote kwa comments zenu hakika zimenisaidia sana kuvuka kipindi kigumu, kwasasa nimeshamove on kabisa sina mpango na yule ex tena, pia nimejikeep busy kazini na masomo so niko busy na inanisaidia kutokua na mawazo hayo.
Nawashauri wengine wote kusema ya moyoni yanayowasibu ili wasaidike kuliko kukaa kimya mwenyewe.Tuendelee kusaidiana japo kwa mawazo tu ni nzuri, mbarikiwe wote[emoji7]
Haswaa au pale bungeni kabisa lango kuuAsante dear sanamu langu lichongwe ikulu ya chamwino
For sureHaswaa au pale bungeni kabisa lango kuu
Ndiyo wapi huko huko chipu mkuu🤔
[emoji3][emoji3][emoji3]# mdaka chozi.The hardest stage of moving on is not to forget someone but learning to live without them.
Umeweza kuishi mwaka mzima bila yeye, hiyo inatosha. Nadhani tatizo lako unatafuta mtu bora kuliko yeye bila kujicomit kwenye mahusiano. Usipoingia kwenye mahusiano hautakuja kumpata.
Give someone a chance, and get to know them well. They might be better than your X.
Ni mimi #MdakaChozi
Umeongea kwa hisia sana poleIlikuwa ni ngumu mno kukaa sawa.ilinichukua miaka karibu minne au mitano[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Sijawahi kuruhusu mapenzi.naogopa kuumia.kilichobaki ni kutamaniana na kupiga game tu.
Huwa napenda kiboya sana,natoa uaminifu asilimia zote na huwa inanigharimu.
Natamani nimtengene mpenzi wangu mwenyewe [emoji3064][emoji3064]
mawazo ya huyo pimbi yanakuja😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pole sana financial services Ulikuwa kwenye kipindi kigumu mnoo kama uliweza kuvuka hapo basi hakuna jambo litakalokusumbua Dunia hii! Sio mapenzi tu, hata mambo mengine hakuna litakalokuja kukuumiza tena ushakuwa Legend! Kwa sasa Usiingie kabisaaa kwenye mahusiano yani usijaribu kabisaa tuliza kichwa mpka uwe sawa kabisaaaaaa! Maana ukiingia tu sasa hv utakuwa una ile mindset ya kumlinganisha huyo mpya na yule pimbi aliyekutesa, tena sana sana utataka huyo mpya amzidi yule pimbi kitu ambacho utajikuta unazagamuliwa na watu tofauti tofauti coz utakuwa unaonja unaona hafai! Bora utulie ufanye mambo yako usisahau kusali sana ikibidi jiunge na kwaya na vikundi mbali mbali vya kanisa ili uwe unakaa na watu kwa muda mrefu maana ukijifungia fungia peke yako ndo yanakuja mawazo ya huyo pimbi aliyekutesa
Ahsante sana mkuu! Now niko poa kabisa na nimekua busy kiasi! Nikitoka job naunganisha darasani! Kurudi home usiku + uchovu naishia kulala muda wa kufikiria tena hamna. Hilo neno pimbi sasa😂😂🙌Pole sana financial services Ulikuwa kwenye kipindi kigumu mnoo kama uliweza kuvuka hapo basi hakuna jambo litakalokusumbua Dunia hii! Sio mapenzi tu, hata mambo mengine hakuna litakalokuja kukuumiza tena ushakuwa Legend! Kwa sasa Usiingie kabisaaa kwenye mahusiano yani usijaribu kabisaa tuliza kichwa mpka uwe sawa kabisaaaaaa! Maana ukiingia tu sasa hv utakuwa una ile mindset ya kumlinganisha huyo mpya na yule pimbi aliyekutesa, tena sana sana utataka huyo mpya amzidi yule pimbi kitu ambacho utajikuta unazagamuliwa na watu tofauti tofauti coz utakuwa unaonja unaona hafai! Bora utulie ufanye mambo yako usisahau kusali sana ikibidi jiunge na kwaya na vikundi mbali mbali vya kanisa ili uwe unakaa na watu kwa muda mrefu maana ukijifungia fungia peke yako ndo yanakuja mawazo ya huyo pimbi aliyekutesa
Kwasasa upo single?Hello wakuu, napenda nitoe mrejesho wangu.
Kwanza nawashukuruni wote kwa comments zenu hakika zimenisaidia sana kuvuka kipindi kigumu, kwasasa nimeshamove on kabisa sina mpango na yule ex tena, pia nimejikeep busy kazini na masomo so niko busy na inanisaidia kutokua na mawazo hayo.
Nawashauri wengine wote kusema ya moyoni yanayowasibu ili wasaidike kuliko kukaa kimya mwenyewe.Tuendelee kusaidiana japo kwa mawazo tu ni nzuri, mbarikiwe wote[emoji7]
Kwani ni vibaya kuwa single mkuu, Wewe uko double?Kwasasa upo single?
Amen, thank you so much dear Jj, am now ok 😘Utakuwa sawa financial services, jitahidi kukaa karibu na Mungu zaidi,,,wazungu wanasema muda huponya...so usikate tamaa ,,amini kuna sababu kwa kila jambo,,,liwe zuri ama baya Mungu ana sababu