Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Kwa mara ya kwanza nimekuonea huruma dada yangu! I feel you! Pole sana.. pole dada.
 
Habari wakuu.

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza
Hili tatizo kama langu nashindwa kumsahau alaf yeye kitambo sana hana habari na mm
 
Nilisoma ushauri ni jinsi gani naweza kumuacha aende alooo saiv nina mpya
 
Anyone can be replaced!
 
Na ubishi wangu kuna siku nilikosa usingizi nikakesha sababu ya dem yule mchaga aliniweza, ila haitakaa ijirudie.

Kila mtu ni dhaifu kwenye mapenzi kutoa wasukuma.

Wasukuma hawanaga hisia hata akizaa na mwanamke hana mda na akiachana na dem asubuhi jioni ana mwingine.

Wasukuma nimewavulia kofia.
 
1.kuwa busy mda mwingi na mambo yako usikae loss hata kama hakuna kitu chakufanya basi ww jipe ili tu uwe busy na usiupoe ubongo mda wa kufikiria vilivyopita
2.jichanganye na watu
3.usitafute mtu mwingine kwa haraka kwaajil ya kuziba pengo
4.kama unapenda mazoez basi tumia mda mwingi kwenye mazoez
5.weka mbali vitu ambavyo ukiviona unakumbuka ya nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…