Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,818
Ukiruhusu hili lipite utakuwa umezaliwa upya na utagundua ni kiasi gani tunaweka ulinzi wetu chini na kuwaamini strangers.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mara ya kwanza nimekuonea huruma dada yangu! I feel you! Pole sana.. pole dada.Ilikuwa ni ngumu mno kukaa sawa.ilinichukua miaka karibu minne au mitano🥺🥺🥺
Sijawahi kuruhusu mapenzi.naogopa kuumia.kilichobaki ni kutamaniana na kupiga game tu.
Huwa napenda kiboya sana,natoa uaminifu asilimia zote na huwa inanigharimu.
Natamani nimtengene mpenzi wangu mwenyewe 🥺🥺
Like to know you better!!.. can I..?Kwani ni vibaya kuwa single mkuu, Wewe uko double?
Nionee huruma tuu brother hakuna namna mapenzi yanatesa sana.Kwa mara ya kwanza nimekuonea huruma dada yangu! I feel you! Pole sana.. pole dada.
Nifuate nikunong'oneze..Nionee huruma tuu brother hakuna namna mapenzi yanatesa sana.
Natamani kupendana na mtu bila sababu
Hi Kenzy!Like to know you better!!.. can I..?
Yo yes here in front of you..😉Hi Kenzy!
Haya ninong’oneze brotherNifuate nikunong'oneze..
Njoo usukumani ujitwalie limupenzi lisilojua kuacha!..Haya ninong’oneze brother
Ndio yule X wako unayemuombea mema.! Nafikiri una stori nzuri ya kutueleza.Ilikuwa ni ngumu mno kukaa sawa.ilinichukua miaka karibu minne au mitano[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Yeboooo...nilishaelezaga humu😎Ndio yule X wako unayemuombea mema.! Nafikiri una stori nzuri ya kutueleza.
Weee usiniambie brotherNjoo usukumani ujitwalie limupenzi lisilojua kuacha!..
Karibu usukumani..Weee usiniambie brother
Hili tatizo kama langu nashindwa kumsahau alaf yeye kitambo sana hana habari na mmHabari wakuu.
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza
Anyone can be replaced!Habari wakuu.
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.
Huwa unamove on kwa kureplace mwingine faster?Anyone can be replaced!
1.kuwa busy mda mwingi na mambo yako usikae loss hata kama hakuna kitu chakufanya basi ww jipe ili tu uwe busy na usiupoe ubongo mda wa kufikiria vilivyopitaHabari wakuu.
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.