Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Nilishamove on guys,nilishamsahau na nimefuta kumbukumbu zake, nipo busy na mambo mengine. Nawashukuruni wote.
Safi sana! Nilichelew kuuona huu uzi,ila mimi ningekupa mbinu ya kumsahau muda huo huo,yani hapo hapo saa,dk na sekunde hiyo hiyo una move on![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi sana!
Nilichelew kuuona huu uzi,ila mimi ningekupa mbinu ya kumsahau muda huo huo,yani hapo hapo saa,dk na sekunde hiyo hiyo una move on![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mbinu gani hiyo mkuu, tusaidie hapa kwa manufaa ya baadaye, si unajua tena haya mambo siku yoyote yanaweza kutokea tena😂😂
 
Ni mbinu gani hiyo mkuu, tusaidie hapa kwa manufaa ya baadaye, si unajua tena haya mambo siku yoyote yanaweza kutokea tena[emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]
Niko barabarani mkuu nikitulia nitaweka hiyo mbinu hapa, ni mbinu ya "kumzika mtu akiwa hai",unamzika kifikra.
Yani huyo hata ukikutana nae face to face macho yanamuona ila kifikra humuoni kiasi kwamba kama asipokupisha unaweza kumgonga na usijue umegonga kitu gani.
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sasa ndio nini kuja kuzungumzia mahusiano yetu huku jf?
Namba yangu unayo, ungenitafuta tuzungumze
 
Shida we unaangalia na kukumbuka mazuri yake we mfikirie kwa mabaya tu utamsahau
 
Duh hii nzuri hii😂😂 umeniogopesha hapo kumzika akiwa hai, kumbe kifikra😂 naisubiria hiyo mbinu mkuu
 
Epuka kukaa mwenyewe,tafuta marafiki ,fanya unachopendelea sana,kula sana
Mtu anawezaje kukufanya ukose raha
Kwenye maisha hakuna marudio
Furahia muda wako if it's the last time
 
Epuka kukaa mwenyewe,tafuta marafiki ,fanya unachopendelea sana,kula sana
Mtu anawezaje kukufanya ukose raha
Kwenye maisha hakuna marudio
Furahia muda wako if it's the last time
Unajisumbua tushashauli sana lakini wapi,tushafunga hadi novena kwaajili yake lakini wapi!.. kafara hadi za kunguni lakini ngoma ikadunda..
Tumeamua kumuachia yesu wakae faragha na kiumbe chake😂
 
mkuu acha tu wangu adi ufunguo wa getto nilimwachia niliumia sana ila nilishidwa kumwacha
but nachati nae mana kumwacha nilishindwa
Ulimuachia ghetto lako? Naye akaendelea kuishi kwa amani kabisa? Mmh

Unachat naye kama mpenzi wako bado ama mmewekana kwenye friendzone?
 
Unajisumbua tushashauli sana lakini wapi,tushafunga hadi novena kwaajili yake lakini wapi!.. kafara hadi za kunguni lakini ngoma ikadunda..
Tumeamua kumuachia yesu wakae faragha na kiumbe chake😂
Acha kuniwangia wewe, na nahisi huyo ex ni wewe shenzy kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…