Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Wewe ni mwanamke uliyekamilika, usiye na dosari na unafaa kwenye mahusiano yenye heshima.

Ungejimwambafai kwamba wewe huna taim na mahusiano ningelikuita mzushi na ningelikudharau sana.

Maana wa hivyo huwa bado hawajapata "size" yao na wakipata huwa wanakwamishwa hasa na kuwa ni slave wa mapenzi, maana hakuna mjanja wala mwamba kwenye mambo hayo.

Labda kuna jambo ambalo napenda ulielewe sasa ni kwamba, duniani hapa mizani ya mapenzi huwa haibalansi, labda hutokea kwa kudra sana.

Hauwezi kuta wapenzi wawili wanaopendana, wakabalansi kwenye mizani ya penzi, lazima mmoja awe juu na mwingine yupo chini.

Ukiona mtu unampenda sanaa, elewa kuwa yeye hakupendi sanaa.

Wakati unamshobokea huyo mtu, kuna mtu mwingine anakusorolea wewe, tena kwa kujiapiza rohoni mwake kuwa siku akikupata wewe, atapumzika na shida za kusaka wapenzi, atakuwa ameshafika.

Mtu huyo hata akikufungukia nia yake hiyo, wewe wala hautashituka, maana utaona hakuvutii na ndivyo ilivyo.

Sasa kwa huyo X wako, hesabu ulishampoteza kwa kufiwa ili umzike kwa sahau ili roho yako ipumzike kwa kubeba huo mzigo.

Angelikuwa anakupenda kama unavyompenda na kuumia kukukosa kama unavyoumia wewe, asingelithubutu kukupoteza kwa kisingizio chochote kile, hakukupenda huyo.

Move on mama, dunia imejaa wahitaji hii, utapata mwenza ambaye mtachukuliana naye na kufarijiana na kutibu majeraha ya vidonda vya mapenzi unavyougulia hadi sasa.

Kikubwa hapo, linda afya yako pamoja na uvumilivu tu, lazima ipo siku nawe utafarijika.
Mkuu umenifariji sana kwa hii comment, nakushukuru sana, najipa matumaini ipo siku ntafurahi na mimi, i still believe mapenzi ya kweli yapo ni suala la muda tu. Ahsante uwe na siku tulivu.
 
Habari wakuu.

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii.

Nifanye nini wakuu?😪😪

Kumbe alikuacha inaonekana jamaa alipata hitaji la moyo wake, Kwahiyo na wewe omba Mungu kuna siku atakuja mwanaume wa atakaye endana na wewe,
Ila mm katika maisha sijawahi kuumizwa na mwanamke kwa kuniacha
 
Napitia ktk hiki kipindi kigumu kwa sasa,haya mambo uyasikie kwa mwengine ila maumivu yake ni makubwa sana,ukisikia mtu amejinyonga usimcheke ameshindwa ku control hisia na maumivu yake.Naona kabisa itachukua muda mrefu sana kurudi ktk hali yangu ya kawaida
 
Habari wakuu.

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii.

Nifanye nini wakuu?[emoji25][emoji25]

Niliwahi mpenda mtoto wa mtu wa kike nikaweka kila kitu rehani hadi nikagombana na wazazi wangu maana niliridhia hadi kuishi nae pamoja japo wazazi hawakutaka wakihofia umri wangu bado mdogo na atanisumbua lakini sikuelewa, ila now ni miezi mitatu imepita toka tuachane, alinifanyia uhuni sana huyu mdada sikuwahi kuumia kama nilivyoumia hiki kipindi mwezi mzima nilikuwa ndani nikilia, chakula nilishindwa kula nikawa nampigia cm na kumuomba msamaha kama vile mimi ndie nilimkosea ili tu asiniache lakini wapi, after mwezi niliamua kumsahau na kiukweli hadi sasa naona nimeshamsahau kabisa na sasa yeye ndo anaaza kunisumbua, Me sitaki tena kupenda.

Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
 
Napitia ktk hiki kipindi kigumu kwa sasa,haya mambo uyasikie kwa mwengine ila maumivu yake ni makubwa sana,ukisikia mtu amejinyonga usimcheke ameshindwa ku control hisia na maumivu yake.Naona kabisa itachukua muda mrefu sana kurudi ktk hali yangu ya kawaida
Pole pitia visa vya humu na ushauri vitakufanya usonge mbele
 
Mwanaume unajifungia ndani unalia
Pole sana jitahidi kuwa mwanaume kamili
 
Niliwahi mpenda mtoto wa mtu wa kike nikaweka kila kitu rehani hadi nikagombana na wazazi wangu maana niliridhia hadi kuishi nae pamoja japo wazazi hawakutaka wakihofia umri wangu bado mdogo na atanisumbua lakini sikuelewa, ila now ni miezi mitatu imepita toka tuachane, alinifanyia uhuni sana huyu mdada sikuwahi kuumia kama nilivyoumia hiki kipindi mwezi mzima nilikuwa ndani nikilia, chakula nilishindwa kula nikawa nampigia cm na kumuomba msamaha kama vile mimi ndie nilimkosea ili tu asiniache lakini wapi, after mwezi niliamua kumsahau na kiukweli hadi sasa naona nimeshamsahau kabisa na sasa yeye ndo anaaza kunisumbua, Me sitaki tena kupenda.

Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
Aisee pole sana mkuu, ila maisha lazima yaendelee kupenda kupo tu wala usijali utapenda na utapendwa na wengine. Maumivu huja kutukomaza kihisia, umakini unaongezeka
 
Napitia ktk hiki kipindi kigumu kwa sasa,haya mambo uyasikie kwa mwengine ila maumivu yake ni makubwa sana,ukisikia mtu amejinyonga usimcheke ameshindwa ku control hisia na maumivu yake.Naona kabisa itachukua muda mrefu sana kurudi ktk hali yangu ya kawaida
Mkuu usijali mimi naamini machaguo yetu sahihi yapo ni suala la muda tu, ukiona umeachwa/umeacha basi jua hakua mtu sahihi. Jipe muda naamini atatoke mwingine mtakayependana na kusahau machungu yote
 
Back
Top Bottom