Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Hii kitu kama haijakutokea unachukulia simple ila kama ilishawahi kukuta ndo utajua maumivu yake pole its take year but uweza kuondoa picture yake kwa moyo na hongera pia watu kama ninyi ni wachache kwenye dunia ya sasa kumpenda mtu kiasi hiyoo
 
First of all, build a bridge between you two.

Second of all, cross the bridge/get over it.

Third and final, burn the bridge.

Hapo utakuwa on the safe side. I hope utakuwa umeelewa.
 
Mwaka sasa
The hardest stage of moving on is not to forget someone but learning to live without them.

Umeweza kuishi mwaka mzima bila yeye, hiyo inatosha. Nadhani tatizo lako unatafuta mtu bora kuliko yeye bila kujicomit kwenye mahusiano. Usipoingia kwenye mahusiano hautakuja kumpata.

Give someone a chance, and get to know them well. They might be better than your X.

Ni mimi #MdakaChozi
 
Hahaha time is the best healer. Ila wewe inaonesha unajiendekeza shoo.... Ukikubali kutokea kwenye uvungu wa moyo wako kwamba he's no longer yours hakika utamsahau.

Mimi ilikuwa nikiona Brevis tu moyo unapiga paaa, asubuhi nikienda mishe mishe lazima nipite njia inayopita kazini kwake + anapoishi. Can you imagine that faken situation i had? Ila nilijiruhusu kumsahau and now I'm all good. Hata nikimkumbuka ni kwa uzuri sio kama zamani nikimkumbuka nakabwa kooni na uchungu. πŸ˜‚
 
Pole sana mkuu,binafsi sijawahi kukumbana na hiyo changamoto japo napitia wakati mgumu na mpenzi wangu...
Busara isipotumika huenda yakanifika yaliyokufika....maana huyu mtoto wa kichaga nampenda kupita maelezo.
Ahsante mkuu naombea yakukute pia inaumiza sana, try to settle down your issues msifikie breakup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…