Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Hahaha time is the best healer. Ila wewe inaonesha unajiendekeza shoo.... Ukikubali kutokea kwenye uvungu wa moyo wako kwamba he's no longer yours hakika utamsahau.

Mimi ilikuwa nikiona Brevis tu moyo unapiga paaa, asubuhi nikienda mishe mishe lazima nipite njia inayopita kazini kwake + anapoishi. Can you imagine that faken situation i had? Ila nilijiruhusu kumsahau and now I'm all good. Hata nikimkumbuka ni kwa uzuri sio kama zamani nikimkumbuka nakabwa kooni na uchungu. [emoji23]
Depal
 
Habari wakuu!

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu[emoji25][emoji25]
Moving on, starts by pretending.

We learn everything slowly, especially when it comes to love.
 
Nashukuru Mungu kwenye mapenzi alinipaga moyo mwepesi wa ku let go, hata niumie kiasi gani, arooo hata wiki haiishi naendelea na maisha mengine.

Slogan yangu ni moja tuu nitampenda mtu saana na nitamjali kuliko hata ninavyojijali sinaga vya kuwaza nisifanye kitu fulani kuogopa tukiachana nitaumia, ndo kwaanza nitafanya.

Ikitokea tumeachana nasema tu Mungu asante hii tuition hamna nilichobakiza nime cover topics zote, sijapoteza mimi yeye ndo kapoteza.
Nafuta kila kitu chake namba na simu na block juu (kwa wale wanaojidai kutaka tuendelee kuwa marafiki baada ya kuachana, huu ujinga sitakagi)

Hata akija mwingine nitapenda tena kama sijawahi kupenda naye kama ni tuition fresh tu. Ila ninakoelekea najiona naenda kuacha hii kamari.
 
Hii si bangi mbichi na kavu hii, ndiyo ilikusaidia kumove on mkuu? Mimi hapana siwezi tumia hii🙌
Ukiona huwezi tumia hiyo basi jua hujafikia kiwango cha juu cha maumivu, hiyo kitu imenisaidia kwa mambo makubwa kuliko hata hizo breakups.

Kuacha, kuachwa ama kuachana sio mwisho wa dunia, ni mwisho wa dunia uliyokuwa ukiiona ukiwa na mtu mmoja, bado wapo wengi tu. Cha umuhimu pitia hatua zote za maumivu, lia, cheka, waza, sikitika ila cha muhimu zaidi usisahau kuishi maisha yako, ni experience nzuri katika maisha kupitia hayo maumivu na utajifunza kitu ambacho huenda kitakuepusha na matatizo kwenye mahusiano yako ya mbele.
 
pole sana bt hali hiyo itakwisha ikiwa utapata mtu sahihi wa kuziba pengo lake.
 
USIJARIBU nkamu

Haya mambo moyo upo kwa A, unaenda kujilazimisha kuwa na B: ni kujitesa nafsi yako na kumtesa huyo B ambaye possibly ana pure intention kwako. Na kama hujamtoa mtu kwenye nafsi yako; ni ngumu sana hata kuona na kukubali upendo unaonyeshwa na wengine huku nje. Huwezi kuendelea na mahusiano mengine au maisha yako tu kwa sababu utakuwa bado una matumaini kuwa fulani atarudi. Muachilie nafsini mwako, amini kuwa hakuwa wako.
Yaani sawa dear [emoji122]
 
Habari wakuu!

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu[emoji25][emoji25]
Njoo kwangu hakika utasahau yote nakupenda sana bibie [emoji7][emoji7]
 
Hahaha time is the best healer. Ila wewe inaonesha unajiendekeza shoo.... Ukikubali kutokea kwenye uvungu wa moyo wako kwamba he's no longer yours hakika utamsahau.

Mimi ilikuwa nikiona Brevis tu moyo unapiga paaa, asubuhi nikienda mishe mishe lazima nipite njia inayopita kazini kwake + anapoishi. Can you imagine that faken situation i had? Ila nilijiruhusu kumsahau and now I'm all good. Hata nikimkumbuka ni kwa uzuri sio kama zamani nikimkumbuka nakabwa kooni na uchungu. [emoji23]
Naomba desa dogo
 
Nashukuru Mungu kwenye mapenzi alinipaga moyo mwepesi wa ku let go, hata niumie kiasi gani, arooo hata wiki haiishi naendelea na maisha mengine.

Slogan yangu ni moja tuu nitampenda mtu saana na nitamjali kuliko hata ninavyojijali sinaga vya kuwaza nisifanye kitu fulani kuogopa tukiachana nitaumia, ndo kwaanza nitafanya.

Ikitokea tumeachana nasema tu Mungu asante hii tuition hamna nilichobakiza nime cover topics zote, sijapoteza mimi yeye ndo kapoteza.
Nafuta kila kitu chake namba na simu na block juu (kwa wale wanaojidai kutaka tuendelee kuwa marafiki baada ya kuachana, huu ujinga sitakagi)

Hata akija mwingine nitapenda tena kama sijawahi kupenda naye kama ni tuition fresh tu. Ila ninakoelekea najiona naenda kuacha hii kamari.
NIMEKUELEWA
 
Pole sana ukimpenda mtu sana au mkipendana sana na penzi likavunjika hiyo ndiyo hali halisi. Inachukua muda sana kupotea na hata ukiwa na mtu moyoni unatamani angekuwa X wako ndiyo yuko pembeni. Ukimpata mtu mwingine mkielewana usifanye upuuzi eti wa kutompenda sana kama anastahili kupendwa sana. Penzi la kweli halistahili kufichwa. Pole sana Best.

Habari wakuu!

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu😪😪
 
Kuna watu wanaWorth kuforce na kubembeleza mahusiano. If yours worth it just don't give up on her/him. Maisha ndio haya haya ukimpata unayempenda never set her free.
Be happy to day🌹 Tomorrow is not promising 😢
FB_IMG_16218915323285406.jpg
 
Mimi nilivoachana na niliyempenda (firstlove) kwakweli nilidata,nilichanganyikiwa nikaenda kuwaambia kqka zake wanisaidie kama nimemkosea anisamehee lkn wapi. Alafu mbaya zaidi aliniacha tu bila taarifa yani. Siku ya harusi ya kaka yangu akaja na msichana mwingine akadai ni mchumba wake doh! Niliumia kupita maelezo ( tulikuwa family friends) dada yangu akaanza kunitia moyo eti mwanaume mwenyewe mbaya sura mbaya achana nae 😂😂😂😂

Ila nilikubali matokeo japo ilichukua muda lkn nashukuru Mungu nilivuka na nikampata wakunipenda kuliko yule na maisha yanaenda
 
Habari wakuu!

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu😪😪
Njoo kwangu babe leo nipo free, nimejiskia vibaya sana
 
Back
Top Bottom