Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Ni kweli dear kiuhalisia ni ngumu mno kutokana na mazoea na good moments you had together
Na hizi ndio huumiza wala hata sio upendo! Zile outing za KFC ndio zinatesaga ubongo na zawadi za chupi 😂😂😂 na hela za shopping! Utampata mwengine tu lakini mama ndio ukubwa huo...ile time umezoea simu yake kuita ikifika dah mwiba unachokora roho machozi nayo hayaa!!!
 
Jipe muda!

Kila unachokipa kipaumbele(priority) katika ubongo wako ndicho unachokifikiria.So inabidi ubadili focus point,focus kwenye vitu vingine kama ni kazi,mazoezi au imani n.k

Kama muda mwingi unakuwa mpweke epuka hilo...mara nyingi tukiwa wapweke ndio tunafikiria mambo ya ndwele.Jichanganye na watu,jenga marafiki wapya,muhimu kati ya yote jipe kipaumbele(wewe ni wa muhimu sana na una thamani kubwa)tambua hilo huhitaji kuwa mtu kupata hio assurance.

Life is to live,have fun and enjoy yourself,maisha ni mafupi and we live only once.Dont be wasting your valuable time for someone who does have yours.
 
Habari wakuu!

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu😪😪
Ukipata mwingine utamsahau. Baada ya kusema hayo nakushauri chukua hatua na Fanya juhudi upate mwingine kama ulivyompata yeye.
 
Hatua ya kwanza msave kwa jina baya lolote.
Hatua ya pili usijaribu kupiga wala kutuma text yoyote.
Hatua ya 3, usitafute mpenzi mpya haraka.
Hatua ya 4. Futa sasa namba za huyo mtu.
 
Hahaha time is the best healer. Ila wewe inaonesha unajiendekeza shoo.... Ukikubali kutokea kwenye uvungu wa moyo wako kwamba he's no longer yours hakika utamsahau.

Mimi ilikuwa nikiona Brevis tu moyo unapiga paaa, asubuhi nikienda mishe mishe lazima nipite njia inayopita kazini kwake + anapoishi. Can you imagine that faken situation i had? Ila nilijiruhusu kumsahau and now I'm all good. Hata nikimkumbuka ni kwa uzuri sio kama zamani nikimkumbuka nakabwa kooni na uchungu. 😂
Duh! Kwahiyo mkuu uko singo???
 
Habari wakuu!

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu[emoji25][emoji25]
Dawa ni kuja kwangu tu upumzike, "is the only way" mkuu[emoji7][emoji7]
 
Time heals everything thing don't force kumsahau, delete pictures and block number yake with time uta forget na usimchukie rohoni, hyo experience ni mbaya Sana ila ukipona utajiona mjinga kumpenda mtu wa hivo,pia sali Sana na wewe mtoe moyoni usiwe na kinyongo ili u attract mwanaume atakayekupenda, ukiendelea kumweka kichwani utaendelea ku attract wanaume ma player tu, pia pumzika mahusiano loh. Na Bora imekupata Sasa kabla hujaingia kwenye ndoa ndo ingekuwa pain maradufu sometimes we tend to love people who do not love us aisee. Pole wish you quick recovery and no situation is permanent in life.
 
Back
Top Bottom