shamzugi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 535
- 1,115
Hapo nnaeyelengwa ni mimi boss, chap kwa haraka tumfute na kumdelete huyo mbugira alokwaruza mtima wakoYaani sawa dear [emoji122]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nnaeyelengwa ni mimi boss, chap kwa haraka tumfute na kumdelete huyo mbugira alokwaruza mtima wakoYaani sawa dear [emoji122]
Habari wakuu!
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila
Ha haaa eti zawadi za chupi, jamaniNa hizi ndio huumiza wala hata sio upendo! Zile outing za KFC ndio zinatesaga ubongo na zawadi za chupi [emoji23][emoji23][emoji23] na hela za shopping! Utampata mwengine tu lakini mama ndio ukubwa huo...ile time umezoea simu yake kuita ikifika dah mwiba unachokora roho machozi nayo hayaa!!!
Eeh sindio zawadi zetu mabaharia 😂Ha haaa eti zawadi za chupi, jamani
Ndio hujaipendaHa haaa eti zawadi za chupi, jamani
Hatua ya kwanza msave kwa jina baya lolote.
Hatua ya pili usijaribu kupiga wala kutuma text yoyote.
Hatua ya 3, usitafute mpenzi mpya haraka.
Hatua ya 4. Futa sasa namba za huyo mtu.
Delete namba zake zote halafu kuwa bize kutafuta helaHabari wakuu!
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.
Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu😪😪
😅Maana anacheka tuuUnaweza kukuta huyo jamaa ni Extrovert !!
Akinjunjana ndiyo ataweza ku move on?Tangu muachane ulishawahi kunjunjana na mwingine?
Kama its complicated hamuwezi kukaa sawa paka muachane, na mkiachana never go back, it's over hata iweje mwanaume usirudi nyuma km huyu msela wa financial.Pole sana mkuu,binafsi sijawahi kukumbana na hiyo changamoto japo napitia wakati mgumu na mpenzi wangu...
Busara isipotumika huenda yakanifika yaliyokufika....maana huyu mtoto wa kichaga nampenda kupita maelezo.
Nipe nafasi mm afu utaona wiki tu utamsahauHabari wakuu!
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.
Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu[emoji25][emoji25]
Yes ni yasiwakute nadhani ni typing error tu mkuuHope ulilenga kuandika 'yasikukute'..
Ahsante sana kwa upendo wako kwetu.
Mungu akupatie suluhisho juu ya unayoyapitia mkuu.
Replace your problem with a bigger challenging and constructive problemHabari wakuu!