Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Sa si umroge mwendee tukuyu....
Au basi njoo kwangu utamsahau uyo
 
Hii tu kufunguka hapa kuhusu changamoto yako, ni mwanzo wa kupona kwako toka hicho kifungo.
Nilikua msiri sana kusimulia masaibu yangu, nilipoamua kuongea niliachilia kitu toka kifungo kama chako.
 
Usirudie tena kupenda sana. Mimi nilikulaga za uso 2004,baada ya hapo nilijiapiza haitokaa irudie nimpende mtoto wa mtu. Aisee naishi maisha poa sana. Akizingua,natupa kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliamua tu kwamba leo iwe mwisho kuumia juu yake na kweli ikawa hivyo, sasahivi yeye ndio anaumia juu yangu lakini ilishapita hiyo,
 
Ww unamlilia mpenz? Mm nilimucha mke nkabeba mtoto wangu nkatembea na sasa nimeowa tena na Nina watoto wangu wazuri na wanaafya nzuri

Na niandikapo reply hii nasubir sup ya KUKU wa kienyeji ipoe hapa mezan
 
Mdaka machozi ya watu ni hapa
 
Nijibu haya maswali
1.huyo muhusika yumo humu Jf?
2.sababu za kuachana ni nin?
3.ulishawahi kukaa nae chini mkaongea kuhusu kupeana second chance au unasubiri yeye ndio akuanze?
4.unadhani kwa sasa bado yuko single kwa huo mwaka mzima mlioachana?
5.kipi special kinachokufanya uendelee kumuwaza?(alikuwa anakugegeda vizuri tu au alikuwa ni mtu anaekusadia matatizo yako pindi unapokuwa na shida)
 
Kuna vitu ukiweza Kufikiria utaweza kuanza kumove-on taratibu na hatimaye kurejea normal.

1. Chukulia kwamba pengine kuna kitu umeepushwa nacho.

2. Pia weka imani yupo wa kwako mahususi uliyepangiwa kuwa nae.

3.Pia amini hakuna kilichobora kilichoondoka mikononi mwako, kipo bora zaidi kitakuja.

Ukijaribu kuyaweka hayo akilini naamini utavuka salama tu hiki kipindi.
 
Hapana sikuzaliwa naye mkuu, ila nilikua nampenda sana😪😪
Sasa my darling financial services , ungekuwa unapitia changamoto kama ya kwangu, ungepata maumivu ya kiasi gani?

Mimi rafiki yako nimempoteza mke wa ndoa! Tena alikuwa ni wife material kweli kweli! Ameniachia watoto 2! Mwaka wa pili huu, hata sijielewi! Nimeshindwa kabisa ku move on!

Ilikuwa haiwezi kupita siku bila kuwasiliana nae! Leo ni mwaka wa pili huu, siwezi kuisikia sauti yake! Siwezi kumuona tena! Familia imeparanganyika!

Natamani kumpata wife material wa kiwango chake, simuoni! Wachache niliokutana nao, naona hawakidhi vigezo!! Kwa upande wako unatakiwa kumshukuru Mungu! Maana inawezekana ulimpenda tu, ila yeye hakukupenda kwa kiwango kile kile!
 
Mkuu unapata tabu ya nini, karibu kwangu ujenge kibanda cha mda.. hadi utapo kuwa normal 😊😊
 
Mkuu akienda shule huyu atadisco asubuhi.
Labda part time jobs
 
fanya kitu kipya ambacho hujawahi kukifanya. kama haujui kuendesha gari then go to driving school kama hujui karate go to a karate school.

njia nyingine, tafuta demu mwingine mkali ingia nae katika mahusiano. Kinacho kufanya uendelee kumuwaza huyo ni kwa sababu kwenye mind yako bado kuna idle space.
 
Ni
Ni mwanmke uyo jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…