Noe_wenc87
Member
- Oct 25, 2018
- 8
- 5
Wakuu habari za majukumu..Ukiachilia mbali taaluma za kila mmoja lakin natumaini ni ngumu kufikia malengo yako kiuchumi bila kuwa na Plan B
Mim ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja wapo hapa Tanzania..lakin kutokana na ugumu wa ratiba za chuo chetu nashindwa kuthubutu kuanzisha biashara yoyote ili hata nikimaliza chuo niweze kuendelea nayo
Kwa wenye uelewa zaidi (naamin mpo wengi) .Je wazo zuri la biashara lipi litanifaa kutokana na ugumu wa ratiba za chuo changu ...msaada tafadhari.