Inategemeana Kama unataka kuanzisha biashara zako ukiwa chuoni au laaah, but Kwanza kabisa lazima uwe na business plan ambayo ndiyo inakuwaje first mile towards your business.
Kwamfano kama unataka kufanya biashara zako ukiwa chuo na Kama ratiba Ni ngumu kuweza kuzihandle unaweza kuangaria my wa nyumbani ambaye unamuamini Sana Kama baba au mama kwa kumpatia mtaji ambao utamuwezesha kuendeshea hiyo biashara,kwa kuangaria wazo lolote la biashara Kama vile ufugaji wa kuku,kilimo Cha mbogamboga na matunda Kama tikiti maji au ufugaji wanguruwe na kilimo Cha mihogo lakini hi inatokana na mkoa ambao unatokea kwa kuangaria hasahasa perception ya customers ko ndo kinaweza kudetermine uanzishe biashara gani lakini nakushauri Kama mkoa au sehemu unapotoka Kuna uwezekano wa kulima mihogo lima maana inalipa au ufugaji wa nguruwe,au Kama unataka kuendesha biashara hapo hapo chuoni unaweza nunu typing written machine ukawa unawatypia watu individual assignment au group assignment wakati wa kupzika maana kuto kana na ratiba za chuoni hii Ni rahisi Sana ku ihandle.
Kwa maelezo zaidi twaweza kuwasiliana.