Jinsi gani unaweza kumtambua mdada anae danga( mdangaji )?

MrWings

Senior Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
155
Reaction score
335
Habari za mda huu wakuu, Leo nimeamua kulileta suala Hili ili tupeane experience ya jinsi Gani unaweza kumtambua mdada kuwa ni mdangaji au Malaya. Kwa mimi binafsi huangalia vitu vifuatavyo,
1.nywele huwa Wana zibreach
2.huvaa vile viskin vya kubana, kirefu au kifupi
3.huvaa Yale masuruali ya kike mapana chin afu kati Yana bana au huwa mapana kiujimla
4.hupost pich za makalio iwe insta,fb nk
5.huwa wanavaa vkuku
6.hutoga pua.
7.sketi fupi
8.utakuta amesuk manywele marefuu Hadi magotini. Kwa mimi binafsi nikishaonaga dalili hizo huwa Moja Kwa Moja na jua huyu ni mdangaji, nyinyi wenzangu huchunguza nini ili kujiridhisha kuwa msichana anadanga?
 
Mimi binafsi njia ninayoitumia kumjua demu hua naingia kwenye akaunti zake za social media hasa instagram. Naangalia aina ya sehemu anazopendelea kwenda, watu anaojumuika nao, viwanja anavyotembelea, aina ya picha anazoposti nk. Asilimia 95 hua hawajifichi utakuta kaposti kila kitu.
 
Mizinga mizito mizito,hawanaga time ya kufikiria kesho yao na ya wenza wao.
 
Hii nishawahi kuitumia, tena nilimtumia hela ya bundle tu ambayo aliniomba siku ya kwanza, kwa kucheck status zake na company yake nikajua hamna kitu.
 
Ushamba unakusumbua asee. Hivi ukiwa na mke atavaa apendeze kweli hivi atapata mahitaji yake naye ajiskie binadamu au nyie ndio wale mkioa mtoto wa mtu anafubaa kwaajili ya akili na imani potofu kama hizi.

Acha ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…